Hapa Tanzania tuna makundi mawili ya viongozi wanaopatikana Makanisani na Misikitini. Kuna viongozi wa DINI na viongozi wa DILI.
Viongozi wa DINI ni wale ambao wanapokuta dhuluma katika Nchi zinazidi sana hususani wakati wa uchaguzi hupaza sauti zao waziwazi ili kukemea udhalimu huo lakini...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mtambi ametoa kauli hiyo Wakati alipowaalika Viongozi wa Dini katika Futari Ikulu ndogo ya...
Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi yahusishwa na imani za ushirikiana kwa dhana potofu ya kupata uongozi.
Tamko hilo limetolewa na...
Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania.
Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha.
Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
Wakuu,
Askofu wa Pili wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Tarime mkoani Mara, John Nyaitara, ameiomba serikali kuwapa viongozi wa dini nafasi ya uwakilishi bungeni ili waweze kushughulikia changamoto zinazozikumba taasisi za dini.
Askofu Nyaitara alitoa ombi hilo juzi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Viongozi wa Dini Wameomba na kumsihi Rais Samia awapatie nafasi ya kuwa na uwakilishi Bungeni ili waweze kushiriki vyema katika kutoa michango na mawazo katika utungaji wa sheria zinazogusa masuala ya Imani .
Mimi Lucas Hebel Mwashambwa napinga wazo hilo kukubaliwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
Viongozi wa dini mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaambia waumini wao juu ya kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ndani ya mkoa na taifa kwa ujumka utakapofika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala wakati wa ghafla fupi ya...
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema anakereka na tabia za baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa kidini kuwa na tabia za kusifia sana viongozi kupindukia(chawa) tabia ambayo pia imeingia hata kwa viongozi wa kidini.
Sheikh Ponda amesema hayo alipokuwa akifanya...
Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana.
Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia.
Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema;
"Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili nao wawe sehemu ya mabadiliko ya kisiasa nchini ikiwamo mfumo wa uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa...
Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kudumisha amani ya taifa. Aidha, wameeleza kuwa hawaungi mkono wanasiasa wenye kauli za vitisho na zinazoweza kusababisha...
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa nani.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.