viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Viongozi wa dini Chato wachangisha Tsh. Mil 1.4 kwaajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombe Urais

    Wakuu, Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg. Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Katika mchango...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ujue unafiki wa waafrika, viongozi wa dini, basi tazama ukimya wao kwenye sakata la DRC

    Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule Ukraine. Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Duniani kote kipindi cha uchaguzi wanasiasa huwa wanatafuta Booster za Viongozi wa dini /wasanii na wafanyabiashara

    Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii. Wafanyabishara huwa wanatumika kama Donors ku sponsor kampeni za kisiasa kuongeza nguvu ya fedha , matajiri huwa...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, Serikali wasisitiza amani na utulivu

    Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani. Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo kwenye kongamano na dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan iliyoandaliwa na mbunge wa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meryine Warah: Viongozi wa madhehebu nchini msifumbie macho vitendo vya uvunjifu wa Haki za Binadamu

    MKURUGENZI wa Miradi ya Green Faith Duniani Meryine Warah amewashauri viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini kutofumbia macho vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyojitokeza katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kule Chongoleani mkoani Tanga. Maryine aliyesema...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi. Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Arusha: Viongozi wa Dini waipongeza INEC kwa Elimu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya kwanza zoezi litakaloanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu. Hayo yamesemwa...
  9. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Masauni anapowataka viongozi wa dini wasisitize na kuhubiri amani

    Bwana Masauni napenda kutoa maoni yangu juu ya kauli yako inayohimiza nyumba za ibada kuhamasisha amani. Lengo langu ni kuomba ufafanuzi wa tafsiri yako ya neno amani na jinsi inavyopaswa kufikiwa katika mazingira halisi ya taifa letu. Je, unapotaja amani, una maanisha watu wakae kimya pale...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa Dini na Siasa Tanga waridhishwa na Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kuna kitu, hii siyo bure! Hiki kilichotembea iwe ni kifinyo au kibunda itakuwa ni cha maana! ===== Viongozi wa dini na siasa Mkoani Tanga wametoa pongezi na shukrani kwa juhudi za viongozi wa Serikali wa mkoa wa Tanga pamoja na wananchi katika kuhakikisha uchaguzi wa Serikali za...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa dini niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini

    Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa TEC: Viongozi wa dini hatuwezi kujitenga na siasa

    Siasa zinaendesha maisha yetu Siasa inagusa maisha yetu Wanaotekwa Wana ndugu zetu tunaoishi nao mtaani na wengine ni marafiki zetu Viongozi wa dini hatuwezi kujitenge na siasa maana siasa inawagusa waduasi wetu hivyo inatugusa sisi Kuna video kaongea kwa kirefu Sana na kaonya juu ya kutekwa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Viongozi wa dini mkiendelea kukaa kimya juu ya matukio ya watu kuuawa maovu haya yataendelea nchi hii

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na wenzake, kuuawa kwa Mzee Kibao, awakemea wanaosema wasichanganye dini na siasa, awataka viongozi kujua...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Viongozi wa dini hamuwezi kutenganishwa na siasa na mkiiweka siasa pembeni, mtakuwa hamjaelewa majukumu yenu ya msingi

    Katibu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi wa dini hawawezi kutenganishwa na siasa kwani viongozi hao kuiweka siasa pembeni ni kutokuelewa majukumu ya msingi kama viongozi wa dini. Akizungumza mkoani Kilimanjaro amesema...
  15. sitaki hela

    JamiiForums Tanzania Hongereni baadhi ya viongozi wa dini kwa kusimamia haki

    Niende moja Kwa moja, Kwa pongezi zangu Kwa baadhi ya viongozi wa dini Kwa KUSIMAMIA HAKI hasa kipindi hiki Cha uchaguzi, Mungu awabariki Ila kuna baadhi ya viongozi wa dini wenyewe wanasubiri kuwaibia waumini sadaka zao kwa kuwaongopea njoo na hiki, mara chukua hiki, utapona, hapa nawalenga...
  16. Bams

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa, Tunawapongeze Viongozi wa Dini Wanaokemea Udhalimu.

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  18. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa dini msichoke kukemea haya ya uchaguzi, semeni kwa sauti kubwa mpaka Mkuu wa nchi asikie

    Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki. sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa. Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makonda awaomba viongozi wa dini kuhubiri amani uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale. Makonda amesema hayo leo Jumanne Novemba 19, 2024 alipozungumza na viongozi wa dini wa madhehebu kuelekea uchaguzi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa dini Iringa wataka ustaarabu wakati wa kampeni

    Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Pia, Soma: • Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa • TAKUKURU Iringa kuanzisha...
Back
Top Bottom