viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  2. and 100 others

    JamiiForums Tanzania Kati Ya Vyombo Vya Dola na Viongozi Wa Dini Nani Hapaswi Kujihusisha Na Siasa?

    Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida. Taasisi za serikali...
  3. mbegubora29

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tambueni mipaka yenu na watu wenu msituletee taharuki mtaani, kila mtu ana dini yake na asili yake

    Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin! Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Padre Mchunguzi amkosoa Rais Samia kwa kauli yake kuwataka viongozi wa dini kutodandia ajenda za kiasi

    Hakika yajayo yanafurahisha. Kumeanza kupambazuka na giza linaanza kutoweka taratibu.... Sikiliza namna Padre Mchunguzi anavyomkosoa Rais Samua katika namna ya kumuona mtu asiye na ufahamu na uelewa kabisa. Na possibly ndivyo ilivyo... Anasema; "...Juzi hapa nilimsikia Rais akisema, ooh...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hovyo kushambulia viongozi wa dini nchini wanapozungumzia siasa

    Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini

    Ninatambua mchango wenu mkubwa katika kudumisha amani na haki nchini. Hata hivyo, nawaomba muache kabisa kutoa kauli zinazobeba viashiria vya uchochezi wa kuamsha hisia za kidini. Kumbukeni ninyi ni Watanzania mnaowajibika kujisomea maandiko ya kimfumo ya nchi yetu. Jifunzeni vitabu vya mfumo...
  9. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa dini watenge siku maalum ya kuwaombea maaskari wote wakatae kutumika kukandamiza wananchi

    Viongozi wote wa dini watenge siku maalum ya kuwaombea maaskari wote wakatae kutumika kukandamiza wananchi. Siku hiyo maalum maaskari wote wanaoshika bunduki waombewe makanisani na misikitini. Mungu awasaidie wakatae kutumika kukandamiza wananchi. Wakatae kutesa wananchi. Wakatae kutumika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini simamieni haki na amani kwa pamoja bila kuvitenganisha nchini

    Kwa hali tuliyomo kisiasa kama nchi suala la Haki na Umoja lazima lisemwe kwa pamoja. Wananchi tumegundua kuna kundi la viongozi wa dini wapigania HAKI kama kipaumbele na kuna kundi lina pigia chapuo AMANI kwanza kwa kuipata kwa hali yoyote ile, kuna kundi la kati linazungumzia UTULIVU zaidi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii wa 'Bongo Movie' awashukia viongozi wa dini waliotaka Lissu aachiwe, ahoji maagizo hayo yametoka kwa Bwana?

    Wakuu sasa naona wameamua kuwatumia na wasanii ili kuwananga viongozi wa dini, juzi tulimsikia Sheikh Mwaipopo na sasa ni wasanii. Vita dhidi ya haki ni nzito === Msanii wa filamu Tanzania Jimmy Mafufu ambaye pia hivi karibuni alitangaza kurudi CCM akitokea CHADEMA amehoji kauli zinazotolew...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dodoma aonya Viongozi wa Dini Kuhusu Siasa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu kuendelea na Uchaguzi Mkuu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, ikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  15. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tuwe na sauti moja kukemea matumizi ya mabavu na vitendo viovu vinavyofanywa na dola

    Watumishi wenzangu, Nimeona kuna kongamano leo kuhusu Amani. Tumekuwa wanafiki na tumekosa sauti moja kuhusu rafu zinazochezwa na CCM ikisaidiwa na dola. Tusipepese macho—tuite mbichi ni mbichi katika majumuisho yetu. Anayeharibu tunu zetu ni CCM, si mabeberu wala wapinzani. Wizi wa kura...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masanja Kadogosa: Umoja wetu utawezesha uchaguzi waamani na utulivu

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa. Kadogosa ameyasema hayo Aprili 21, 2025 jijini Mwanza alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya Pasaka na maombi maalumu ya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Je? Viongozi wa dini wanaonekana ni wa Muhimu tu wakati wa hatari?

    Nimeamua kuuliza swali hili kwa wanajukwaa hili baada ya kufanya tafakari mbili . Mosi nilimsikiliza Mkuu wa Majeshi mstaafu Venance Mabeyo akisema masaa machache kabla ya hayati Dr.Pombe Magufuli kupumzika kwa amani siku hiyo asubuhi aliomba aitiwe baba Paroko wake Kama sikosei anaitwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Viongozi wa dini wamesapoti G55 "Hakuna kuzuia uchaguzi"

    "Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii...
Back
Top Bottom