Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhakikisha wanasimamia na kuhimiza amani nchini ambacho taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Akizungumza wakati wa ibada ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.
Rais wa TEC na Askofu...
askofu wolfgang pisa
baraza la maaskofu tanzania
kanisa katoliki
kuelekea 2025
mkristo
pasaka
pasaka 2025
rais
salamu za pasaka
serikali ya ccm
tanzania
tec
tundu antipas lissu
viongoziwadiniwakatoliki
waraka
Viongozi wa dini wamekuwa wakienda maofisini na maeneo mbalimbali wanapoitwa na wanasiasa. Wakiwa mbele ya wanasiasa wote ugeuka nakusifia kwamba hali ni shwari
Lakini weekend hii wametoa matamko magumu sana utawala wa kisiasa nchini. Wamezungumza kama vile wamewahi kuomba forum ya kuwaeleza...
Nilisikia zaidi ya mara moja baadhi ya viongozi wa serikali kwa nyakati tofauti tofauti ikiwemo makonda wakiwakemea viongozi wa dini kuto kujihusisha na siasa au kuongelea masuala hayo kwenye makanisa au misikiti.
itambulike kwamba Viongozi wa dini kwenye makanisa na misikiti ni watanzania na...
Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:-
1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA.
2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake na ustawi wa Mkoa wa Arusha.
Ibada hiyo ya Pasaka – Ijumaa Kuu imefanyika katika viwanja vya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu.
Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.
Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Zainabu Katimba naye ametoa neno.
Naibu Waziri huyo amewaomba viongozi wa dini pamoja...
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
Nawasalimu nyote hapa JF.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu hasa inayowahusu baadhi ya viongozi wetu wa dini waliokaririwa na vyombo vya habari wakiwaonya waumini wao kuhusu ajenda inayozungumzwa katika mikutano ya CHADEMA kuhusu no reforms no election/bila mabadiliko hakuna...
Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Kutokana na upande wa serikali kutotaka kukaa pamoja na Vyama vya Upinzani na kuzimaliza...
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa...
Hapa Tanzania tuna makundi mawili ya viongozi wanaopatikana Makanisani na Misikitini. Kuna viongozi wa DINI na viongozi wa DILI.
Viongozi wa DINI ni wale ambao wanapokuta dhuluma katika Nchi zinazidi sana hususani wakati wa uchaguzi hupaza sauti zao waziwazi ili kukemea udhalimu huo lakini...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mtambi ametoa kauli hiyo Wakati alipowaalika Viongozi wa Dini katika Futari Ikulu ndogo ya...
Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi yahusishwa na imani za ushirikiana kwa dhana potofu ya kupata uongozi.
Tamko hilo limetolewa na...
Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania.
Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.