viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

    Wakuu kumekucha salama? Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma. Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wapongeza Juhudi za Rais Samia Kuleta Maendeleo Nchini

    VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI ▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa ▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa ▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii 📍 Dodoma Viongozi wa Dini...
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamshauri Rais kuhusu Mpango wa Adani usitishwe. Je, wetu na DP World hali ikoje?

    Christian and Muslim clerics unite in urging Ruto to cancel Adani deals, return to NHIF Religious leaders under the umbrella of the National Council of Churches of Kenya (NCCK) and Supkem have expressed concern over ongoing developments in the country, and have asked President Ruto to rescind...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naungana na makamu wa rais kukemea hili, baadhi ya viongozi wa dini hawafahamu wajibu wao!

    Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali waambieni viongozi wa dini kuwa watekaji ni waumini wao waliowashidwa kwenye dini zao, waache kunyoshea vidole polisi pekee

    Viongozi wa dini ndio walezi wa kiroho na maadili wa Watanzania. Siku za hivi karibuni waneanza kunyooshea vidole polisi kuwa hawawezi kazi kupambans na watekaji na kujifanya kusikitishwa sanaaaaa usanii mtupu huo. Serikali waambieni viongozi wa dini kuwa watekaji ni waumini wao waliowashidwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini. Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwakumbusha viongozi wa Dini.

    Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha mahubiri/hutba kitumike kufanya kazi hiyo. Kesho ni siku ya Ijumaa ambapo wenzetu waislamu ndo siku ya Ibada...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini nyingine mpo wapi kukemea maovu yanayoendelea?

    Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini. Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni yanayoendelea. Naomba hawa viongozi wa Dini nyingine waliokaa kimya watuambie, wapo upande gani? Je, wanahusika...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini wanatakiwa kuwahimiza waumini wao kutokupokea rushwa kipindi cha uchaguzi, wachague wadilifu ili tuwe na serikali tukufu

    Tanzania imebahatika kuwa na waumini wa dini kuu mbili Ukristo na uislam. Dini hizi zinafundisha maadili ya kukataa rushwa, udadilifu, kuheshimiana, kutenda mema kwa wote ili tuweze kujikomboa kutoa umaskini hatuna budi kuchagua viongozi wacha Mungu, tena wadilifu. Utakuwa hujajitendea haki...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa viongozi wa dini/nyumba za ibada walipe kodi TRA

    Habarini, Anasa na ufahari umezidi kwa watu hawa kiasi kwamba wanajiona wao ni special hapa diniani kwa kuishi kwa nguvu na hela za watu. Iweje wanaopeleka hela kanikani na miaokitini walipe kodi ila wanaopokea hizo hela wasilipe kodi? Huo ni ujinga mkubwa na kama kuna hoja ya maandamano basi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wapongeza uzinduzi wa akaunti ya sadaka ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango mingine inayolenga kuwarahisishia waumini kumtolea Mwenyezi Mungu wakati wa ibada au hata wanaposhindwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi wa Dini mpo upande gani kuhusu yanayoendelea nchini?

    Viongozi wa Dini nyingine, kwa nini mnakaa kimya wakati Watanzania wanapitia katika mateso mbalimbali? Kuna suala la Wamasai wa Ngorongoro na suala la kutekwa watu, viongozi mbalimbali wa Dini wamejaribu kupaza sauti zao kukemea maovu yanayofanywa lakini viongozi wa Dini nyingine mpo wapi...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Habari Ndiyo Hii; Hata Viongozi wa Dini Hampo Salama.

    Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali. Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali

    Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo. Chanzo: East Africa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wanalipwa Mishahara sioni kwanini Viongozi wa Dini wasilipwe Mishahara na Serikali. Nakubaliana na Shehe Bombo

    Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi. Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na Roho wasilipwe mishahara na Serikali...
  20. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
Back
Top Bottom