viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasaidieni waumini kujitenga na uovu. Tangazeni Oktoba 29 iwe ni siku ya waliotekwa na kupotea

    Kazi kubwa ya kiongozi yeyote wa dini, ni kuwasaidia waumini wake kujitenga na uovu/dhambi. Kiuhalisia, uchaguzi unastahili kuwa tendo takatifu, hasa pale maamuzi yote wanapopewa wananchi. Kwani kwa kupitia wananchi hawa, Mungu, huwapatia wanadamu wake viongozi. Lakini kwa mazingira ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  3. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini zote kufanya matembezi ya Amani sio Uchawa

    Viongozi Wa Dini Wanavyofanya Matembezi Ya Amani Sio Kufanya Uchawa Bali Ni Kuliombea Taifa Amani Tulionayo Izidi Kudumu Kwenye Taifa Hili” Sheikh Walid Ameyasema Hayo Wakati Wa Matembezi Ya Amani Amani Yaliyofanyika Leo Septemba 20
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Kamati ya Amani Kufanya Matembezi ya Amani Septemba 20

    Ni wakati sasa viongozi wa dini waoneshe ujasiri wa kweli kwa kuandaa matembezi ya amani yenye lengo mahsusi la kukemea vitendo vya utekaji, ukatili na uonevu vinavyowakumba raia wasio na hatia. Sio haya matukio yao wakitoka wanapewa posho ✊ ================= Kamati Ya Amani na Viongozi Wa Dini...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Ameandika Mangekimambi "Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia. Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi, Wanaharakati na Viongozi wa Dini pazeni sauti zenu yuko wapi Mwinjilisti Elias Juma?

    Aliyeimba wimbo wa "Waraka wa CHADEMA" No reform No election.
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais AAFP: Serikali yangu haitoruhusu ushiriki wa Viongozi wa Dini kwenye Siasa

    Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu Akihutubia...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa CCM ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia CCM Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa CCM
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wengi humu ni kutokujua kuwa hata viongozi wa dini wanaichangia pesa ccm ibaki madarakani

    Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya viongozi wa dini katika kuunganisha taifa na kuhubiri zaidi amani nchini nchini

    “Niwaombe viongozi wote wa dini hapa nchini kuendelea kuhubiri Amani, Utulivu na Upendo kwa waumini wenu na kuwa kiunganishi ili jamii iweze kuondokana na migogoro isiyokuwa na tija. ” Rais Dkt Samia Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia amekuwa akisisitiza sana viongozi wa dini...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Maaskofu na Watumishi wa Mungu acheni kuhubiri siasa kwenye nyumba za Mungu mnajitesa bure pia mnatupotezea muda wetu Bora tungekaa nyumbani tu

    Mimi siwezi kuhama chama kisa eti Askofu au kiongozi wa dini kahuburi blah blah zake, kuonyesha hisia zake kwenye chama fulani, hizo ni paniki zake hazihusiani na mstakabali wa chama changu. Unakuta mtumishi wa Mungu anawasengenya watu kwenye madhabahu ya Mungu mpaka unajiuliza hivi anajua...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Wanasiasa wanaamini wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upizani mkubwa

    Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanasiasa wengi hawapendi viongozi wa dini kushiriki katika masuala ya siasa kwa sababu wanaamini hatua hiyo inaweza kuathiri maslahi yao binafsi. “Wanasiasa wanaamini kwamba wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upinzani...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Polisi Wasisitiza Utunzaji wa Amani Mtwara

    Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025. Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini waombea eneo la ajali iliyoua watu 42 Same, Washauri kujengwa Mnara

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wamekutana wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kufanya ibada maalumu eneo kulikotokea ajali iliyoua watu 42 na wameiomba Serikali kuweka mnara wa kumbukumbu wenye majina ya waliofariki katika eneo hilo kama moja ya njia ya kuhifadhi historia Wamesema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 THBUB Yatoa Wito kwa Viongozi wa Dini na vyama vya Siasa Kuepuka Lugha za Uchochezi uchaguzi mkuu 2025

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewataka wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini na vyama vya siasa kujiepusha na lugha za matusi, kejeli, ubaguzi na uchochezi, hasa wakati wa kampeni huku akiwasisitiza kutanguliza mbele masilahi ya taifa. Wito huo umetolewa na Makamu...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini watakiwa kukemea rushwa uchaguzi mkuu 2025

    Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii kupata viongozi bora, waadilifu na wenye kuzingatia masuala ya haki, uongozi na maendeleo ya wananchi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa viongozi wa dini nchini Tanzania. Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa

    BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa Waheshimiwa viongozi wa dini, Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa watu. Nawasimamia...
Back
Top Bottom