viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaomba viongozi wa dini kufichua rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini ndio waasisi wa siasa na ubunifu wa fikra za kupigania uhuru Tanzania. Sitoacha kufanya siasa

    Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 THRDC yasema viongozi wa dini wasiingilie siasa

  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini msikubali kuchonganishwa wala kugawanywa

    Mimi sio mfuasi wa Gwajima hata kidogo.. Ana mashimo yake mengi tu.. Lakini pale alipojitoa waziwazi kuliongelea swala linalotuumiza sana la utekaji ghafla akageuka shujaa wa wengi maana aliongea kile watu walichotaka kukisikia Uungwaji wake huo mkubwa haukumfurahisha kila mtu.. Na hili wala si...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Acheni Unafiki. Tanzania ina Amani Gani?

    Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze. Watu wanatekwa Watu wanauawa Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini. Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa. Halafu anatokea mtu...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya dini na siasa ni pale viongozi wa dini wanapokosoa waovu ila waovu wanapofanya siasa madhabahuni si kuchanganya dini na siasa

    Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
  9. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwenu viongozi wa dini: Kwanini mnaendelea kumkaribisha kwenye madhabahu takatifu na shughuli za kidini huku akiwadhihaki na kuwaita mashetani

    Mtaendelea kudhalilika hadi lini? Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu? Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila" ipo siku atawageukia na ninyi atawaita vibwengo mbele ya patakatifu na mtalazimika kupiga makofi na...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    Akiwa anazungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT, Rais amesema: ""Nilikuwa namsikiliza Katibu Mkuu wa Dayosisi hii ametaja mambo kadhaa ambayo kanisa hili linafanya katika sehemu mbalimbali nchini. Sasa ndugu zangu huu ndio utumishi wa...
  11. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Viongozi wa Dini kutokuwa na Umoja au Mshikamano pale wanapokemea maovu katika jamii?

    Habari wakuu, Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu. Je, ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Itungwe Sheria kupiga marufuku viongozi wa dini KUWA wanachama wa vyama vya siasa. Hapa ndipo kosa lilianzia.

    Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro. NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa. Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
  13. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kuhusu utekaji nchini, Viongozi wa dini ya Kiislam mnaogopa nini kukemea utekaji ?

    Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa mtawala ni miongoni mwa waislamu? Mnahisi mko salama? Mnahisi msipoyakemea na kuyafumbia macho...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalia na yanayoendelea Tanzania, walalamika kunyamazishwa, wadai hofu inaongezeka kila siku

    "Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na waliowatuma hata sababu wanajua" " Leo viongozi wa dini ni kama karibia mntuzima. Uso ukichafuka...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini Maswa watakiwa kuwa walinzi wa amani

    MKUU wa Wilaya ya Maswa, Dkt. Vicent Naano amewataka viongozi wa dini kutumia nafasi yao kuhakikisha amani na utulivu wa nchi unaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wa Rais,wabunge na madiwani. Akizungumza mjini Maswa katika hafla ya dua ya...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nineamini na viongozi wa dini nao wanastahili kuwa na walinzi binafsi!

    Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro. Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k. Kabla ya hapo...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kemeeni shambulio la kigaidi la silaha za kikemikali ofisi za CHADEMA Nyasa

    Wana CCM nawaomba sana na kuwasihi Viongozi wa Dola wazalendo nawaomba na kuwasihi sana . Suala hili naombeni lisichukuliwe ni jambo la kawaida, la kupuuzwa kama ambavyo VIFO vya Akina KIBAO vimepuuzwa !!. Niwaombe sana Wazalendo wote Kwa pamoja KEMEENI hili mara Moja, Kemeeni hili Moja...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi akutana na viongozi wa dini Zanzibar kujadili amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu. Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
Back
Top Bottom