viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Dini Mbalimbali wahudhuria uapisho wa Baraza jipya la mawaziri - Apostle Mwamposa na Maaskofu wengine walikuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025. Kiongozi wa dini yako umemuona?
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya viongozi wa dini Elimu zao ni ndogo?

    Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa asielezwe kwa kigezo cha dini? WAKRISTO hawajaanza kukosoa leo, TUNDU LISU alipigwa risasi kwenye...
  3. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi wa Dini ni kama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi

    Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana Kwa taarifa yao ni kuwa -Muumba hawaelewi -Serikali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenezi CCM-Zanzibar, Khamis Mbeto awataka viongozi wa dini wasijihusishe na Siasa bali watoe ushauri

    Katibu wa Kamati Maalum vya NEC Zanzibar , Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamisi Mbeto Khamis ,ameeleza hayo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Visiwani humu Mbeto alisema matatizo yaliochomoza yana taaswira yac Siasa hivyo ni busara utatuzi wake , ukachwaa mikononi mwa Serikali na...
  5. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Hawawezi Kuiponya Nchi Lile Jeraha Ambalo Hawataki Kuliona

    Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini Rukwa: Wapuuzeni wanaoshawishi vurugu Mitandaoni, Tusishiriki kwenye Maandamano tukapige kura

    Viongozi mbalimbali wa dini mkoani Rukwa wametoa wito kwa waumini wao juu kuwapuuza watu wanao shawishi kupitia mitandao ya kijamii ili kufanya vurugu na maandamano wakati wa uchaguzi mkuu na badala yake wajitokeze kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuwachagua viongozi wanao wataka kwa maslahi ya...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini Mbulu waliombea Taifa Amani na Utulivu kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Viongozi wa dini mbalimbali wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamejitokeza kuliombea Taifa amani na utulivu, kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, huku wakiwataka wananchi kujitokeza kupiga kura. Soma: Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais ni mtumishi wa Umma sio Kiongozi wa dini. Viongozi wa dini punguzeni Udini tunapokuwa tunajenga hoja zetu kukemea jambo

    Kumekua na tabia ya Viongozi wa dini wakiwa wanakemea jambo la flani wanaleta udini aku kwenye kujenga hoja zao. Rais kiongozi wa serikali ni mtumishi wa Umma vyama vyote dini zote wasiokua na dini na pia serikali haina dini anaongoza watu wote kuna wengine sisi sio watumwa wa dini. Tumwombee...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza: Tusikubali kutoa kauli sisi viongozi wa dini ambazo zinaweza kuleta madhara baadaye

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Saidi Mtanda, ameisihi jamii ya Kitanzania kuwaepuka watu aliowataja kufanya uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani katika taifa, akisema ikiwa jamii na viongozi wataruhusu hayo, itasababisha madhara ambayo ni vigumu kuyashughulikia. Mtanda ameeleza hayo katika kongamano...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Kabeke: Oktoba 29 hatuendi kuchagua Dini wala Jinsia tunaenda kuchagua kiongozi atakayeiongoza Tanzania

    Akizungumza katika Kongamano la Amani la Viongozi wa Dini mbalimbali linalofanyika Mwanza leo Oktoba 20, 2025 Mwenyekiti wa amani mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassana Kabeke amesema kuwa tunapoenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 hatuendi kuchagua dini wala jinsia bali tunaenda kuchagua kiongozi...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamekaa kimya suala la Heche kuzuiwa kwenda kumzika Odinga

  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Padri Kessy: Kwenda kumtafuta mbuzi ukiwa na aliyeiba mbuzi inakuwa ngumu sana kumpata mbuzi

    Wakuu Kuna hekima hapa zimetoka kwa Father Prosper Kessy wa Katoliki Kila mwenye hekima na asikie
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkuu wa Dar: Hakuna asiyekuwa Mwislamu akafanya maandamano. Sisi sio watu wa maandamano

    Wakuu, Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad akizungumza kwenye Maulid ya mtume Temeke Azimio kuhusu umuhimu wa kushukuru na kuuishi uislamu alisema: "Hakuna asiyekuwa muislamu akafanya maandamo, hayupo. Msiende mkapigiwa mpira wa karatasi ndani una jiwe. Usiende, sisi sio watu wa...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa la FPCT latangaza mfungo wa siku tatu kuliombea Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Makamu Askofu Mkuu wa makanisa ya FPCT nchini Elias Simon ametangaza siku tatu za ibada ya kufunga na kufanya maombi maalumu kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais ,Ubunge na Udiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, Huku akiwataka waumini wa madhehebu mbalimbali ya kikristo hapa nchini...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini ya Kikristo wanazidi kuwindwa, wengine wameshakimbia nchi, SHIDA NI NINI??

    Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??. Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Wananchi Dodoma wasisitiza umuhimu wa Amani kwa Maendeleo ya Taifa

    Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Kijamii, kiuchumi, Viongozi wa dini wakisema amani ndiyo Neema muhimu...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini waeleza kuridhishwa na usalama wa nchi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema kuwa kwa tathmini waliyoifanya viongozi wa dini katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, amani na usalama vimepewa kipaumbele. Amesema viongozi wa dini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini Mwanza: Serikali isipuuze Maoni ya Viongozi wa dini, Maana wakati huu wa uchaguzi ndo tunaambiwa tuhubiri amani

    Viongozi wa dini mkoani Mwanza wameitaka Serikali kuacha kupuuza maoni yanayotolewa na viongozi wa dini na badala yake kuyafanyia kazi, ili amani na usalama viendelee kudumu nchini Wakizungumza katika mdahalo wa viongozi wa dini ulioratibiwa na Shirika la Ladies Joint Forum kuhusu umuhimu wa...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini Geita wasisitiza utunzaji wa amani

    Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.
Back
Top Bottom