viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM Dodoma, Samuel Malecela: Kutukana viongozi wa dini sio adabu. Tunapovaa kijani tunaonekana wote tunatukana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Samuel Malecela, amekemea vikali tabia ya kuwatukana Viongozi wa Dini, akieleza kuwa ni ukosefu mkubwa wa adabu, maadili na ustaarabu usiovumilika katika jamii. Amesisitiza kuwa hakuna sababu wala tofauti za maoni...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua, viongozi wa dini wakimbia kupitia uzio baada ya polisi na wahuni kuvuruga ibada ya kanisani Othaya, Nyeri

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, viongozi wa dini wakimbia kupitia uzio baada ya polisi na wahuni kuvuruga ibada ya kanisani Othaya, Nyeri
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Viongozi wa dini wasema zaidi ya waumini 160 walitekwa walitekwa nyara na watu wenye silaha wakati wa ibada ya Jumapili

    Makundi yenye silaha yamewateka nyara makumi ya watu waliokuwa wakihudhuria ibada katika makanisa mawili katika jimbo la Kaduna, Nigeria, kwa mujibu wa polisi wa eneo hilo. Kiongozi mmoja mwandamizi wa kanisa alisema waumini zaidi ya 160 walitekwa nyara na watu wenye silaha wakati wa ibada ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wajikite kuhubiri Neno la Mungu kama lilivyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu Na siyo kuhubiri Hisia zao za kisiasa

    Ndugu zangu Watanzania, Watu wanakwenda kwenye nyumba za ibada kusikiliza neno la Mungu na siyo kwenda kusikiliza hisia za mtu na mtizamo wake wa kisiasa au mapenzi yake kwa chama fulani cha siasa. Watu wanakwenda kupata chakula cha kiroho na siyo kwenda kusikiliza uwanaharakati na habari za...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwingulu: Pamoja na Viongozi wa dini tutajenga taifa lenye haki

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 18, 2026, ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Anglikana la Roho Mtakatifu jijini Dodoma katika ibada ya Jumapili, ambapo amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kulijenga Taifa lenye hofu ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa mabilioni yatengwa kulipa mamluki ili kushiriki maridhiano. Wapo viongozi wa dini. CHADEMA ndicho kikwazo. Waghushi ridhaa ya Lissu

    https://youtu.be/81fVXxv5G_U?si=u5UbC4NXl9Prtyqt ======================= CHADEMA mpo? Act now to prevent this greedy act before it's too late Si mnakumbuka ya wale wabunge wa CIVID19 mara baada ya uchaguzi mkuu 2020? Waliapa au hawakuuapa kuwa wabunge? Historia ya matendo maovu au mazuri...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Joseph Ludovic: Viongozi wa dini wana haki na wajibu wa kukemea maovu lakini lugha wanayotumia si ya kiuchungaji

    Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa dini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

    Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma. Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

    GT Mwenye taarifa atupe hapa. Hawajatoa tamko huko?
  13. hamis77

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  14. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo huenda ikawa sababu ya mgongano wa viongozi wa dini

    My people, Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu!

    Kazi ya Viongozi wa Dini ni kuombea mvua. Mengine tunajipendekeza tu! Taifa haliumwi: Uponyaji wa nini
  16. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima akumbusha: Tulionya, taifa linaelekea pabaya

    "Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu. Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si...
  18. This is...

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini hasa wa kiislam hii inawahusu

    Tafadhali sikilizeni hii. Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote. Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana. Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mambo viongozi wa Dini mnahitaji kupuuzwa na kudharauliwa, ni uchonganishi wenu wa kidini

    Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu Tutawapuuza na tumewapuuza Hamuwezi...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na siasa

    Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo. NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
Back
Top Bottom