vikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa eti vikao vya Bunge vinaendelea ilihali hayupo anayejali

    Mchana wa leo rafiki yangu ambaye ni msaidizi wa kigogo fulani nimeshangaa ananiaga eti anatakiwa kupanda flight kuelekea Dodoma boss wake ametakiwa na Bunge kwenda kutoa maelezo kwenye Kamati mojawapo ya Bunge kuhusu sintofahamu ihusuyo shamba la mwekezaji kule Rukwa. Wallah kwanza sikufahamu...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina amejaa tena kwenye kosa la utovu wa nidhamu, Bunge limshughulikie kwa kumfungia vikao 30

    Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili. Natanguliza shukrani
  3. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

    Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
  4. X

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo. Ajenda kuu ilikuwa China. Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China: 1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
  5. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge

    Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!! Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao muhimu kama hivi vya kibajeti visifanyike kama asilimia zaidi ya 50 ya wabunge hawapo? Nini maoni yako?
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema fanyeni vikao vya ndani kukosoana, kurekebishana, na kusahihishana

    Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa chama kwenye jamii.... Sio kwa ubaya lakini, kukosoana hadharani hakutawaacha salama, vinginevyo, aina...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Vikao Vikuu vya CCM

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa (NEC), kilichoongozwa na Mwenyekiti wa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

    Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida. Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nape na Mwigulu waliwahi kumpongeza Nchimbi kwenye mitandao wakati ni wajumbe wa vikao vilivyompita Nchimbi?

    NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni hivyo vikao na wachezaji, zungumzeni na mameneja wao

    Sijui huu ni utaratibu wa wapi unaotumiwa na Simba kufanya vikao vya kila siku na wachezaji. Hauwezi kujua shida za mchezaji kwa utaratibu huu. Tukisema siasa imezidi pale Simba kuna watu hawatuelewi. Kila mchezaji wa Simba ana manager wake anayejua kila issue ya mteja wake. Mimi nadhani klabu...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia 27 - 29 Novemba, 2023

    📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 . #CCMImara #VitendoVinaSauti #KaziIendelee
  15. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki mje hapa, maana nimesema kwenye vikao hamfanyi

    Mimi ni muumini wa kanisa tajwa hapo juu, nimekuwa kiongozi wa jumuia kwa kipindi fulani, niliwahi kumfata paroko kishauriana naye mambo kadhaa, na pia kwenye vikao vya kamati tendaji ya kigango nilishauri kukiwa na msiba sadaka ikusanywe mara moja tu. Kukusanya sadaka mara 2 ule utaratibu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabaraza na vikao vinavyoitwa vya Demokrasia lakini vitendo hakuna

    Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha. Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona. Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu. Swala la demokrasia ni gumu kwao. Wafanye...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Bunge kurejea tena Agosti 29, 2023, Miswada miwili kujadiliwa

    Mkutano wa 12 wa Bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili miswada miwili na maazimio matatu. Ratiba ya Bunge iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 inaeleza kuwa mkutano huo utafanyika kwa muda wa wiki mbili kuanzia kesho Agosti 29 hadi Septemna 8, 2023. Kesho wabunge wataanza na kupokea taarifa ya...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mkutano wa kumi na mbili wa bunge tarehe 29 Agosti – 08 Septemba, 2023

  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin ahaha kuhusu anguko la ruble, aanza michakato ya kuomba vikao

    Hela ya Urusi, yaani Ruble imedondokea pua, imeshuka kwa mwendo kasi na hii inakwenda kuilemaza Urusi kiuchumi, hii imemfanya Putin apapatike na kuomba vikao. ========== Putin to discuss capital controls to help prop up rouble, report says Proposals said to include forcing large exporters to...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mbali na Mkataba wa Bandari ni mkataba gani mwingine ulipitishwa na vikao vya CCM?

    Wanabodi, Naomba ufahamu kidogo Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) ilijadili na kupitisha Mkataba wa Bandari kwamba ni mzuri na una maslahi mapana ya Taifa. Naomba kufahamu katika Historia ya nchi yetu ukiacha mkataba wa Bandari ni Mkataba gani mwingine ulijadiliwa na NEC na kupewa baraka...
Back
Top Bottom