Katika kusherehekea siku ya wazee duniani, nimefanikiwa kuwaona baadhi yao wananyuso za furaha, na wengine wana nyuso za huzuni; ikiashiria vijana wameshindwa kufanya nyuso za wazee wao kuwa na furaha.
Unakuta mzee bado anapambana kutafuta mkate wa kila siku, na wengine bado wanalea wajukuu...