vijana

  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

    Hello, Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae. Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama...
  2. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

    Vijana wenzangu amkeni sasa, Maisha magumu, ukosefu wa ajira, kupanda kwa gharama za maisha na mambo mengine ya hovyo kabisa, chanzo chake ni KATIBA hii mbovu inayowanufaisha serikali ya CCM, viongozi wake na familia zao. Serikali ya CCM ni wanufaika wakubwa wa umasikini wetu na taabu nyingine...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashirika yasiyo ya Kiserikali 4,879 yafutwa na Serikali

    Serikali imeyafuta mashirika yasiyo ya kiserikali 4,898 kati ya hayo yapo yaliyoomba kuacha shughuli zao kwa hiari. Taarifa ya kufutwa kwa mashirika hayo imetolewa Januari 24, 2022 na Kaimu Kitengo cha Mawasiliano Serikali, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

    Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu. Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya...
  6. marehem x

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na hawa vijana kwenye nafasi muhimu kama Ukuu wa Wilaya

    Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU. Usalama wa watoto utakuwa mdogo. Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Mikopo Chuo cha Mbeya University of Science and Technology (MUST) wapeni vijana stahiki yao (boom)

    Habari wakuu, poleni na mjukumu, Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu. Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia baadhi wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa ya kujikimu (boom), pesa ambayo watoto wamesign mwezi wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo kwa vijana wa Raja Sports Academy

    Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kuliokoa Taifa letu la sasa lenye Vijana 'Nyoro Nyoro' wengi naomba Mafunzo ya JKT yawe ni ya Lazima

    Utakuwaje na Taifa lenye Watu Shupavu ( tena kwa Vijana ) kama unakutana na Kijana wa Kiume kapanda DalaDala kutoka Makonde Mbezi Beach na anashukia Kituo kinachofuata cha Goigi huku akijiona ni Mjanja? Nilikuwa najiuliza sana tu ni kwanini Vijana wengi wa Kiume Siku hizi ni Wavivu, hawapendi...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Takriban vijana 700,000 wameikimbia Urusi hawataki kupelekwa kwenye vita

    Putin anaendelea kuachiwa apambane na hali yake, wanaume, wengi wao wakiwa vijana barubaru wameikimbia nchi..... Maana hawaoni tija ya kuburuzwa kwenda kupigana na jirani ambaye hana uadui na wewe.... Young Russians refusing to fight in Ukraine have been fleeing to Istanbul since Moscow...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kipenga chapulizwa, vijana wa Chadema Ruksa kusogea majimboni kuajiandaa na uchaguzi 2025

    Vijana wengi wa chadema wenye maono na fikra za kugombea Ubunge, udiwani na Urais walikuwa njia panda kujisogeza majimboni kwao kuanza rasmi harakati za kuwatoa wabunge waliopo. Nimeona Moto uliowashwa Mwanza jimboni au nyumbani Kwa Pambalu, Ile NI walk-up call Kwa vijana kwenda kwenye majimbo...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba funueni timu yenu ya vijana itawasaidia

    Ninapoona Simba wanahangaika kusajili wachezaji wa kigeni ambao ni dhahiri wanakuja kuwa wachezaji wa akiba maana namba zao tayari zina wachezaji tegemeo, naona ni matumizi mabaya ya rasilimali. Hawa wachezaji wa akiba kwa kiasi kikubwa wangekuwa ni wazawa na wale wenye uwezo wapewe nafasi timu...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hawa Mchafu kuwainua vijana kiuchumi, UWT-Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Mchafu amewakabidhi Mashine ya kufyatulia Tofali vijana ili kuwainua kiuchumi vijana wa Kikundi cha Wazalendo wanaoishi Kata ya Mtongani, Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Vijana wa Kata ya Mtongani Wilaya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vijana msije tumiwa vibaya kwenye mikutano ya Siasa

    Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizotatuliwa ili kukuza biashara kwa vijana

    Idadi kubwa ya Watanzania ni vijana, nao ndio wanakabiliwa zaidi na tatizo la ajira, vijana wa kike wakiathirika zaidi. Kukabiliana na changamoto hiyo, hatua hizi zimechukuliwa zikionesha kuwa Rais Samia Suluhu anahakikisa anawakwamua vijana na wanawake kiuchumi. 1. Mikopo/mitaji ya biashara...
  19. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

    Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu. Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vijana si taifa la kesho, tuna vijana wanahitaji taifa sasa

    Ule usemi wa vijana taifa la kesho ufutwe na utokomezwe sababu umebeba ubinafsi wa umri fulani kwenye madaraka na ajira. Vijana ndio nguvu kazi inayoitajika leo sio kesho iliyochoka na umri umekwenda. Vijana wanatakiwa kuwezeshwa kuendesha taifa lao sio kesho maana hakuna mtu aliyesema kesho...
Back
Top Bottom