vijana

  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  2. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

    Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele." Zitto...
  4. Mbwilimbwili

    JamiiForums Tanzania Kwani vipaumbele vya vijana wa kibongo ni vipi?

    Wazima humu, hivi ni mimi nipo nyuma ukilinganisha na vijana wenzangu au ni vp? Mfano, miaka fulani nilikua nafanya kazi kwenye kampuni moja hivi nilikua nina utaratibu kila nikishuka kituoni nanunua zangu gazeti daily news au the citizen, mwananchi n.k naenda zangu ofisini, likini nikifika...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE! Anaandika Robert Heriel Kuhani. Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40. Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe. Ninapenda kuwausia Vijana...
  6. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchangia vijana kama mtaji au fursa

    Heri ya mwaka mpya 2023. Moja kwa moja kwenye mada Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa ugoro kwa vijana ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo

    Suala la vijana wa kitanzania kuamia katika matumizi ya ugoro ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo nchini. Utumiaji wa ugoro una faida mbalimbali za kiuchumi kwa watumiaji na wafanyabiashara Kama ifuatavyo. 1. Tofauti na hennesy ,matumizi ya ugoro uacha hela yote nyumbani, kuanzia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wampongeza Rais Samia na Serikali yake kwa kuwasha taa ya matumaini katika mioyo yao

    Ndugu zangu , Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani ,mshikamano ushirikiano, upendo Wala utulivu ikiwa vijana wamekata Tamaa ya maisha,ikiwa vijana hawajuwi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

    Hunijui sikujui. Huo ndio ukweli, nyie vijana mnaofuga ndevu kama fashion ya kileo mjini hamna pesa. Kazi yenu kujichubua tu na kutongoza hovyo. Kwa kuwa wadada wa leo hawajui wanahitaji nini wanashituka wameshabeba mimba zenu na pesa za kuwahudumia hamna. Fugeni angalau kuku wa kienyeji hapo...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vijana jeuri ya Chama!

    Vijana wenzangu msione aibu kukitetea Chama popote. 1. Kataeni Uraia Pacha "Dual Citizenship" maana watakuja wajuaji kuwastua WAZALENDO wengi. Mfano, eti Mkenya sijui Mpakistani nae awe raia si majanga? Maandamano kila kukicha. 2. Pingeni Katiba mpya maana haina maslahi kwetu. 3. Nunueni...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtu mmoja afariki kwenye vurugu za Sungusungu na vijana wa Bahi

    Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma. Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sera ya Acha Ball litembee na vijana wa siku hizi

    Acha bollo litembe anasema coach wa Simba. Ustaadhi Juma Mgunda. Vijana wamechuku huo msemo kwa sasa wanatembeza balls zao sana kwenyw mahusiano. Wasione kuna upenyo wanapitisha Ball. Wasione kuna uwazi wanataka ku score. Mi nadhani kuna haja ya kujitathmini. Si kwamba kwa kuwa miguu basi...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hasa vijana, waaswa kuchangamkia fursa za Kilimo Biashara. Dkt. Ashatu Kijaji aipongeza kampuni ya Agricom Africa

    1. Videos Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako! 2. News Story Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Donald Wright: Vijana wa Tanzania wanapenda kuwa huru kujieleza

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald J, Wright amesema katika vijana aliokutana nao wameonesha kutaka kushiriki katika maisha ya kisiasa na kijamii, pia wanataka uhuru wa kujieleza sauti zao zisikike. Ameyasema hayo Desemba 12, 2022 alipoungana na viongozi vijana zaidi ya 400 kutoka nchi...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ianzishwe mikopo ya wahitimu na sharti la kuipata iwe vyeti na vitambulisho vyao

    Vijana wanapenda kujiajiri ila wengi hawana mitaji anzisheni mikopo ya graduates ila kuipata mwaangalie vyeti tu na vitambulisho vyao ili wajiajiri wenyewe na kodi zitaongezeka. Wazazi wamejinyima wamewasomesha watoto ili wapate ajira. Wazazi wengine hata nguo nzuri hawakununua, wala nyama na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  18. Analyse

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

    Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
  19. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Vijana: Mtafute namna ya kujiajiri

    Kuajiriwa ni utumwa ulioboreshwa: Sikia 1: Biashara ya kuajiri watu na kuwalipa mshahara ni Mfumo ulioanza baada ya kukomesha biashara ya utumwa. Kumbuka biashara ya kuchukua mtu mwingine kuzalisha mali ni Mfumo unaolipa; Katibu uone. Biashara ya utumwa ilikuwa biashara yenye faida sana...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanaokimbilia mijini wakitokea vijijini wanajiandaa kuzeeka wakiwa maskini

    Hello! Kasi ya vijana kukimbilia mjini hasa Dar es Salaam imekuwa kubwa mno na inatisha. Ni kawaida sasa kila kijana uliyesoma naye primary au sekondari ukimuulizia yuko wapi atakuambia yuko Dar. Ilinifanya mpaka Takwimu za NBS kuhusu idadi ya wakazi wa Dar es Salaam niliona imepunguza idadi...
Back
Top Bottom