vijana

  1. JamiiForums Tanzania Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

    Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana (Jobless) siku hizi mawazo yao ni Kubet, Ngono, Starehe na Lawama halafu uridhi

    Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo Unakuta ni kijana anawaza kuendesha gari ya baba kidogo kupiga masela vizinga na wengine wameka kama mitego wanasubiria...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ajira hakuna au vijana ndio hawaajiriki?

    Habari wadau! Ebu leo tuongee ukweli hivi kweli Tanzania ajira ni tatizo au tatizo ni wahitimu wetu na vyuo vyetu vinavyozalisha hao wahitimu.? Si kwamba kuna vyuo vinatoa wahitimu wepesi wenye degree na GPA za chupi na zenye uzito wa kinyoya na weupe kichwani kabisa kiasi ambacho hata...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira waache kuiangalia Serikali, watumie YouTube kujinasua kiuchumi

    Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

    Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali. Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana. Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

    Just imagine upo katika kipindi cha majonzi una tafakari hili na lile baada ya kukosekana kwenye ajira! unaulizwa maswali kama haya na wazazi, ndugu na majirani; Nasikia ajira zenu zimetoka. Vipi sasa umefanikisha? Unajibu sijafanikisha. Anaendelea kuuliza, kwanini sasa au hukutuma maombi...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa ndio vijana wamenivutia katika miongo miwili hii tuliyonayo

    Habari wanajukwaa! Leo nimeona niwalete kwenu vijana wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wametoa mchango katika taifa letu. Kwanza niwe wazi katika siasa mimi ni mshabiki wa CCM,na kisoka nipo Msimbazi(simba) Katika kipindi hiki cha miongo miwili ninakiri kuna vijana wengi tumejitahidi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu "magumashi" wabunge viti maalum CHADEMA utayaona ya wanafunzi waliofutiwa mitihani darasa la 7...

    Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni Mambo gani yalikuwa ya kawaida sana miaka ya 1980s - 1990s ambayo Vijana wa sasa hawawezi kuyajua?

    Nakumbuka enzi hizo ilikuwa kawaida kabisa kusibiria kipindi cha muziki mida ya usiku huku ukiwa na kaseti yako, unasuburia wimbo unaoupenda ukifika unaurekodi, Tulikuwa tunasubiria usiku kwa sababu mchana Dj alikiwa anaongea akijisikia wakati mziki unacheza na wimbo anaweza kuukata mapema...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana kutoka kimaisha kwenye Utawala wa Awamu ya 5 ni ndoto za mchana

    Hua nasema kila siku, CCM hata wakipewa miaka 700 hakuna kitu watatufanyia watanzania zaidi ya kutufukarisha. Miaka na miaka CCM inazalisha mafukara wa kutupwa wanaoitwa wanyonge ambao mbaya zaidi ccm inawatumia tena kama stepping stone kwenye uchaguzi. Kijana wa Kitanzania kutegemea utatoka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

    Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali. Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee. Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Vijana: Mahusiano mengine ni ya ajabu sana

    Fuatilia mahusiano kwenye mjadala huu usikie maajabu
  14. JamiiForums Tanzania Jengeni viwanda muajiri vijana sio shule wakasome watoto

    Ifahamike swala la Elimu ya msingi kwa sasa lipo vizuri sana naipongeza serikali. Kiongozi yeyote atakae weza kutatua tatizo la ajira kwa kujenga viwanda kisha kuwaajili watu pasipo upendeleo. Nasema Hivi huyo atashinda hata urais kwa chaguzi zijazo. Kwa nini? Ikiwa rundo kubwa ni la vijana...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

    Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake) Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  17. JamiiForums Tanzania Jaggi Vasudev (Sadhguru): Maisha yake, mafunzo yake na changamoto ya walimwengu hasa wasomi wetu, sisi vijana na wanasiasa

    Jaggi Vasudev (Sadhguru) ni mwalimu wa yoga, mtunzi wa vitabu na public speaker huko nchini India. Mtu huyu mwenye busara na kipawa kikubwa cha utulivu alichopewa na Mungu Mwenyezi anatufundisha mengi walimwengu. Amekuwa akialikwa kwenda kutoa midahalo sehemu mbalimbali ulimwenguni. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuchuja lugha za kilaghai kutoka kwa viongozi wa kisiasa wanapoomba kura na kufanya uamuzi sahihi na bora

    Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wadogo wabatizwa kabla kupelekwa vitani Nagono Karabakh

    Mgogoro wa Nagono Karabakh baina ya Armenia na Azerbajan safari hii umesababisha vita vikali vinavyopelekea Armenia kuelemewa na kuishiwa na nguvu mpaka kupelekea kuwachukua vijana wadogo kuwapeleka mstari wa mbele. Vijana hao wanaojaa hofu kutokana na kutokuwa na uzoefu wa vita huchukuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tutafuteni hela vijana

    Wanajamiiforums tafuta pesa zako upunguze kumuita kila mtu, "MKUU, KIONGOZI,MKURUGENZI, BOSI!" Unajiabisha sana mwanangu. Tafuta pesa kijana wangu ili hata Polisi wakikukuta umetulia sehemu wakuulize "MKUU KUNA SHIDA YOYOTE?" Hata wewe binti yangu tafuta pesa hata siku unapewa appointment...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…