vijana

  1. JamiiForums Tanzania Shirika la Vijana Taifa

    Habari Tanzania !. Natamani kuwaona vijana wa Taifa hili kuanzia miaka 18 hadi 45 wanakuwa wanachama rasmi wa ushirika wa Taifa awe anataka au hataki kama vile mnavyowapeleka Vijana JKT kwa mujibu wenu uleeee. Hili Shirika lingefaa zaidi kuwaweka Vijana kwenye makundi 3: 1. Wenye Elimu au...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIV Jab Sio “Raha Pass!” CHP wa Dagoreti South Awa wa Kwanza Kupokea, Aonya Vijana

    Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass. “Nikiwa CHP...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana chukua fursa: Portable Petrol Station Machine

    Habari Tanzania ! Haya vijana changamkia fursa hii. Anza pole pole kwa yule mwenye ndoto za biashara ya uuzaji mafuta ya vyombo vya moto mchongo huo hapo. Hata kama hujapata wazo la biashara; unaweza kuta unasukuma hii biz maana soko lake ni uhakika kila siku saa 24 siku 7 za wiki. Kazi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo (Abdul Nondo) atema cheche muda huu

    https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT ------------ "Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti maalum ya sekta zinazoongoza kwa ufujaji na matumizi mabovu ya pesa za vijana wa Kitanzania

    1)Idara ya uzinzi Ni sekta namba Moja Ambayo ,imeonekana Kuwa na matumizi mabovu mno ya Fedha ,vijana wamekengeuka ,Wanahonga sana michepuko na girlfriends ukilinganisha na bei Elekezi. Kijana anaamua kujilipua kuingia mahusiano yenye gharama kubwa sana kwasababu ya kupagawishwa na shepu na...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana tutafute hela michepuko yafikishana polisi kisa kugombania mume wa mtu

    Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa ya Songea Mjini wanaonea Vijana wanaondesha Bajaji, wanawatoza faini Sh. Laki 5

    Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING. Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000). Tumeenda...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wanapenda mashangazi kwa sababu hawaingii period muda wowote inapatikana amna usumbufu

    Leo nawapa siri ya vijana kupenda mashangazi ,mashangazi yameshaingia menopause hakuna mambo ya kukwepa mdinyano kisa upo period mashangazi mda wote unadinya ule ubabaifu wa kuwekewa tomato kwenye pedi haupo.
  9. JamiiForums Tanzania Je, vijana walioajiriwa serikalini na sekta binafsi wana haki ya kuunda vikundi na kupata mikopo?

    Mh waziri wa Vijana, Nanauke naomba ujibu swali langu hilo maana kuna vikundi vya kutosha sasa vinaomba mikopo na vya watumishi vipo je wanaruhusiwa ? Tujibu tafadhali
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana imeundwa kimakosa na woga tu

    Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika. Hata hivyo, vijana ni nani na wako wapi?. Vijana ni wale wenye umri chini ya miaka 40 hivi. Vijana hawa wengi wao wako kwenye familia...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanywa Mtaji na Vijana wa CHADEMA?

    Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza kuelewa vijana kwanini wamekuwa wagumu hasa linapokuja suala la kuanzisha familia

  13. JamiiForums Tanzania Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

    Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu. Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao. Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
  14. JamiiForums Tanzania Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

    Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K Msosi 20K Nauli 5K Asante kwa kuja 30K Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo. Kwanini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwashobokea vijana, mtawala huyu wa nchi mojawapo Afrika anazidi kuchukiwa kila kukicha

    Wafu wamefikia hatua wanasema hawataki kuona picha yake. Ila yeye kakamoaa kuwa karibu na vijana. Mara tutawapa hiki, mara tutawapa kile. Tutawajengea studio na bado ahadi kibao. Lakini ukija uraiani vijana ndio wanamkataa kabisa.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania inakwama kwa sababu vijana wamepotezewa roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu

    Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji

    Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
  19. JamiiForums Tanzania Uber wanacheza na maisha ya vijana wetu, wakirudi serikali tunaomba muwachunguze pls na mlinde maslahi ya vijana wetu

    Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka Hata hivyo inaonekana mawazo yao yakikuwa ya kipuuzi na kijinga wakaruhusiwa bolt Baada ya kuruhusiwa bolt, uber wakaanza kulalamika bolt...
  20. JamiiForums Tanzania Mtanzania Joseph Jr Michael asajiliwa na timu ya Vijana ya Celta Vigo ya Hispania

    Kijana wa Kitanzania, Joseph Jr Michael (JJ), amepiga hatua kubwa baada ya kusajiliwa na klabu ya Celta Vigo nchini Hispania kwenye timu ya vijana (Juvenil B) kupitia dirisha dogo la usajili la Januari 2026. JJ mwenye umri wa miaka 18 anayecheza nafasi ya mlinzi wa kati, amejiunga akitokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…