vijana

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe anawachezea akili vijana wake wa CHADEMA, mwisho wa siku wataangukia kwenye mtego wake

    Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Motisha za Uongo kwa Vijana baada ya na Serikali kushindwa Kutatua Mahitaji ya Msingi Tanzania

    Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza teknolojia ya AI, mara dini ndiyo sababu kuu ya umasikini Tanzania; mara wasomi (shule) haina...
  3. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wazee: Liundwe Baraza la Taifa la Vijana kuchochea MAENDELEO na UZALENDO

    Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana. Kauli hiyo imetolewa leo, Januari 22, 2026.
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wafunzeni adabu vijana wenu kuwaheshimu wazee wetu

    Kitendo cha Kihongosi kumfokea Mzee Warioba kwa sababu tu katoa maoni tofauti na chama chake CCM si cha kiungwana kinatakiwa kukemewa na jamii nzima na wapenda haki wote. Mzee hanuniwi mzee hafokewi hata kama kakosea kuna njia nzuri na sahihi za kumueleza. Kiumri Kihongosi ni mjukuu wa Mzee...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Vijana watumie nguvu yao kutetea haki na kuleta mabadiliko

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekichambua kizazi cha vijana (Gen-Z) kama silaha kuu na yenye nguvu zaidi katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania, akitaja sifa tatu za kipekee zinazowafanya kuwa mstari wa mbele. Akizungumza leo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika: Vijana wa sasa wananguvu kubwa katika nchi na wataleta mabadiliko

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM inachekesha sana. Kwamba kusomesha vijana ili wawe Baba lishe na mama lishe ndio vijana watamkubali mama Samia!

    Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA? Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini? Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa? Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Somo kwa Watoto wetu,vilaza waliopata fursa na vijana mnaochipukia!

    Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa. MOSI: Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Kombo: Watanzania tunaomba michango kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani

    Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool: ========== Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani.
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania CCM ina vijana wanashindwa tamka petition wanasema petrol station na ndio wanufaika wa mikopo 10%

    Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vijana na kiasi wanachomiliki na umri wao

    Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhàa, uaminifu ni pesa, vijana kuweni waanifu mtafanikiwa mno

    Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
Back
Top Bottom