Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na ubodaboda, umachinga na saluni; wanalelewa na kuratibiwa ipasavyo ili kuepusha uwezekano wa kutumiwa...
Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya.
Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana...
GT
Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda.
Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS.....
Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini.
Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji wa Mahakama ya Rufani Winifrida Korosso, amesema kuwa sheria nyingi zilizopo nchini hazilingani na mazingira ya sasa na baadhi yake zimekuwa chanzo cha migogoro katika jamii, ikiwemo kuongeza hasira na malalamiko miongoni mwa Vijana kutokana na...
Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema:
"Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo kwa kujihusisha na vitendo vya kuharibu amani.
"Tumejipamga kuhakikisha usalama wa raia na mali...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji
G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi
Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria
Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha.
Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
Anandika Godlisten Malisa...
"Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima.
"Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya ulinzi ni dhaifu. Kama yupo mtu anaweza kuhonga vijana nchi nzima na vyombo vya ulinzi visijue mpaka...
Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
1. SIO WATANZANIA
2.WALIFUATA MKUMBO
3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE
4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji)
5.WALE NI WAHALIFU
6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI WAMEKOSA
mnatuchanganya au ndio pressure imezidi.
Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi.
Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
Habari Tanzania !
Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi.
1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department).
(Kata = Vijana Ward...
Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook;
Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu.
Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini.
Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
Rais wa Umoja wa Wanazuoni Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), Sheikh Abdallah Ndauga, ametoa wito mahsusi kwa vijana kote nchini kujitokeza kudai haki zao kwa njia ya ustaarabu, lakini bila kusahau wajibu wao kama nguzo muhimu ya ujenzi wa taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 17 Novemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.