vijana

  1. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mo Energy: Kinywaji pendwa cha vijana

    Mada nyingi zimeshatolewa hapa jukwaani zikielezea hatari za utumiaji wa kupindukia wa vinywaji vya kusisimua, kwa lugha ya kigeni “Energy Drinks” hususan kwa vijana. Leo ningependa tujadili athari kubwa inayosababishwa na chupa zilizotumika za kinywaji hiki kutokana na kuzagaa ovyo kwenye...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi vijana wanatumia madaraka vizuri? Wanastahili nafasi zao?

    Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi. Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe? Je, hawa vijana watatumia madaraka...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Michezo ya kamari inavyoathiri ukuaji wa uchumi kwa vijana

    Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana kuhusu uhalali wake. Asilimia kubwa ya washiriki hasa katika mchezo huo ni vijana ambao wanakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Mageuzi ya Sayansi na Teknolojia ni fursa kwa vijana

    MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia? Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu chake Cha POWER SHIFT, Aliandika Alieleza Aina tatu za Nguvu, Nguvu za Mwili (physical power), Nguvu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ya Ally Hapi yaendelee kuwakumbusha vijana, madaraka ni koti la kuazima

    Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi. Hapi ambaye...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufahamu wa nini cha kusoma bado ni mdogo kwa vijana wanaotarajia kujiunga na vyuo nchini

    Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..? Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari. Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
  8. JamiiForums Tanzania Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, Vijana na Maendeleo

    ELIMU, VIJANA NA MAENDELEO Sekta ya elimu imeleta mchango mkubwa katika kuendeleza na kujenga uchumi wa nchi na maisha kwa ujumla toka kipindi cha uhuru mpaka sasa. Sekta ya elimu imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta maendeleo ambayo tunayashuhudia sasa katika nyanja zote, kiuchumi, kijamii na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na changamoto za ajira

    VIJANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA ✔️Kipindi Cha hivi karibuni kumekua na kasumba ya waajili wengi kutaka waombaji (vijana) kuwa na uzoefu usiopungua miaka mitatu. ✔️Leo nataka nizungumzie hili swala kwa uchungu Sana, maana imekua ngumu Sana kupata ajira kwa kijana alietoka moja kwa moja chuo...
  11. JamiiForums Tanzania Kilio cha connection kwa vijana

    Kilio cha connection kimekua kikubwa sana huku mtaani kiasi kwamba ishaaminika ndio njia ya uhakika kupata ajira mpaka kupekelea baadhi ya watu ambao wanashikilia vitengo vizuri uko maofisini kuonekana wabaya kwa sababu hawatoi fursa za connection kwa vijana wanaotafuta ajira Ukweli ni kwamba...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  13. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kujitegemea Vijana kiuchumi

    KIJANA mwenye ndoto za kuwa na maisha bora huonekana kwa namna mbali mbali akijituma,kujishughulisha na kutumia mda wake mwingi kwa asilimia kubwa kuzalisha fedha ili aweze kutimiza malengo na mipango anayotamani kuwa nayo ili kuuoa moyo wake kile kitu unahitaji.(vijana wa namna hii huwa Ni...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatekeleza uwezeshaji vijana kwenye kilimo

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Kilimo wameamua kubadilisha sekta ya kilimo kutoka kilimo cha kwenye karatasi kwenda kwenye utekelezaji. Katika hotuba zake za hivi karibuni Rais Samia alisema kilimo kina hela vijana wakajiajiri kwenye kilimo. Ili kuhakikisha vijana wanajiajiri...
  15. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tunatengeneza timu ya vijana (U20), njoo ufanye majaribio

    Watu wa Soka, Leo nimeleta habari njema kwa vijana wenye vipaji. Singida Big Stars tumeanza kutengeneza timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20. Kama una vigezo njoo utuoneshe uwezo wako au mlete kijana wako, tukiridhika na kiwango tunasajili. Majaribio yatafanyika Jumamosi 30/07/2022...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya akili kwa Vijana

    Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana". Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira na vijana baada ya elimu

    AJIRA NA VIJANA BAADA YA ELIMU Vijana ni kundi linalochangia maendeleo ya uchumi katikataifa. Yapo makundi mbalimbali ya vijana katika taifa letu ilanitayagawanya katika makundi matatu. Kundi la kwanza kuanzia miaka 18 hadi 25 kundi hili linapatikana katikaNyanja mbalimbali za elimu kwa mfano...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila malipo kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Pia imewawezesha wahitimu kuendelea na elimu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukombozi wa vijana kutoka kwenye wimbi la matumizi ya Vileo na Dawa za Kulevya Tanzania

    UKOMBOZI WA WATOTO NA VIJANA KUTOKA KWENYE WIMBI LA MATUMIZI YA VILEO NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI TANZANIA. Nchi yetu ya Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo vijana wake wengi kila kukicha wanajiingiza kwenye wimbi kubwa la matumizi ya vilevi kama vile pombe, ugoro, bangi na madawa mengine ya...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania tutajiajiri vipi au kutengeneza uchumi binafsi ili kuondokana na kuwa tegemezi?

    Wimbi la ajira ni kubwa sana na kiukwel maisha ya vijana wengi yapo mikononi mwa wazazi na Ndugu wengine wenye mioyo yakusaidia Ndugu zao. Vijana wengi Sana nchini hawaelewi ni namna gani watajikwamua kiuchumi ili kuondokana na Hali hii. Je, wewe Kama Kijana unashauri Nini kwa vijana wenzako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…