vifaa

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kitengo cha TEHAMA: Kwanini mifumo yenu mingi ya online/kimtandao inasumbua sana tatizo ni wataalam au vifaa duni?

    Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo? Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa vifaa vipya vya Simba Sc

    Nawaonea huruma sana Yanga,
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA waonesha umoja, wamchangia mtoto wa Lingwenya ada na pesa ya vifaa vya shule

    @bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya cement kwa bei ya leja leja

    Naomba kufahamu bei ya cement kwa bei ya leja leja aina ya TWIGA, DANGOTE, TEMBO. Pia bei ya bando la bati??? Naombeni msaada ndugu zangu 🙏🙏
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hizo pesa za kuninulia vifaa vya sport bunge zipelekwe Mashuleni kununua madawati

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
  7. JamiiForums Tanzania SportPesa kudhamini timu ya Wabunge Kwa kuwapa vifaa vya michezo

    • Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. • Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki. Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wanajua hivi ni vifaa vya ujenzi

  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa gharama ya vifaa vya ujenzi

    Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
  10. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Wasaalm wanabodi Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana. Niko Morogoro mjini. Mnakaribishwa PM Picha Update* November 8, 2021 Wakuu nashkuru sana kwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  13. JamiiForums Tanzania Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  14. JamiiForums Tanzania TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  15. JamiiForums Tanzania Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

    Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta vifaa hivi vya Nissan Dualis, DBA-KJ10

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap 1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji. 2. Inner fender(madgad)...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  19. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  20. JamiiForums Tanzania Vifaa vya stationery vinahitajika

    Wakuu nahijitaji vifaa vya stationery kwa Bei ya jumla Kama ifuatavyo. 1.Realm paper 2 flat files 3.printer ink HP laser jet 83A na 85A 4. Endorsing ink 5.blue pen and red pen 6.Box files 7.rubber band 8.steppler 9.punch Etc. Najua k/koo nikienda kutafuta nitaipata lkn Kama Kuna mdau huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…