Vidolè is an arrondissement in the Zou department of Benin. It is an administrative division under the jurisdiction of the commune of Abomey. According to the population census conducted by the Institut National de la Statistique Benin on February 15, 2002, the arrondissement had a total population of 23,387.
Salaam Wakuu.
Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza:
1. Je mfumo huu...
Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line?
Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba...
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.
Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.
Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali.
Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo.
Chanzo: Swahili times
Habari wakubwa, kuna laini nilikuwa natumia ya airtel sikuisajili kwa vidole (ilifungiwa), juzi hapa nimepata namba ya NIDA sasa kabla sijaenda kuikamilisha wezi wameniibia simu ambapo hiyo laini ilikuwa ndani niliiweka tu.
Kuna uwezekano wa kurenew laini ya namna hii?
Mwanzo niliisajili kwa...
Na TheOriginaleast
Kama mwanamke/ mwanaume wako na hizo two line kwenye mkono wa kulia basi jua ni mtu mwenye bahati! Ukitembeanae lazima ufanikiwe! Yaani mambo yako yataenda! Ya kwake yatabaki pale pale kwa hiyo kama Ukifanikiwa basi msupport na yeye aenjoy matunda ya bahati yake! (hawa ni...
Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani?
Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea Corona ni nini? Inasambaa vipi? na kibaya zaidi anahitimisha kwa kutoa wito kwa wananchi ni kitu gani...
BOCCA DELLA VERITA:
Inaitwa MOUTH OF TRUTH
Ipo na inakaa nje ya mlango wa Santa Maria katika Kanisa la Cosmedin Rome Italia
Ni sanamu kubwa iliyo katika hadithi nyingi, inafanana na uso wenye ndevu wa kiume na mashimo ya macho, pua na mdomo.
Kulingana Hadithi nyingi
Mume ambaye...
Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao!
Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena
Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu!
Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi...
Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani?
Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko?
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini bado tunaendelea kupakana wino/rangi vidoleni punde baada ya kupiga kura 2020 licha ya kuenea kwa teknolojia hii ya alama za vidole (Fingerprinting)?
(1) Nini mantiki ya kupaka rangi kidole cha mpiga kura...
Napenda kupewa Elimu ilikuwaje wakachagua kidole cha kuvishwa Pete ya harusi na siyo vingine, pia kwa asiye na vidole labda kwa ajali au ugonjwa huwaje?
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake.
Akisoma maelezo ya...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu ambao nichukulia poa zoezi la kisajili laini kwa alama za vidole nikajua tz ndo zetu huwa mambo hayaishi na ni kweli mapka leo laini yangu inapiga mzigo mwanzo mwenga. Je wewe uzimiwa au inapiga mzigo
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito.
Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na...
Wakuu,
Baada ya kuchoshwa na usumbufu wa laini moja ya mtandao (kwa sasa sitaji jina la kampuni husika na laini hiyo), ambayo nimeisajili kwa taratibu rasmi zilizoelekezwa na TCRA; ninafikiria kwenda kuondoa/kufuta taarifa zangu nilizotumia kusajili laini hiyo kwenye kampuni mtandao husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.