Ni dhahiri kwetu hapa Kenya tuna changamoto zetu, hamna taifa lisilokuwa na kasoro, pia tuna migawanyiko yetu na mara nyingi huwa tunakubali kutokubaliana, ila kwa wenzetu Tanzania ukifuatilia siasa zao, unajiuliza mbona waharibu hela nyingi hivyo kufanya kampeni za maigizo zisizokua na umuhimu...