video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Kenya kuanza ujenzi wa daraja linaloelea baharini kuunganisha Mombasa na Likoni

    Nadhani hii idea inaweza kutumika hata pale ferry kuinganisha Dar na Kigamboni. Picha na video vina maelezo ya kina
  2. JamiiForums Tanzania Video: Baada ya DC wa Arusha kuchapa watu bakora, Naibu waziri naye afuata nyayo kwa kutembeza bakora kwa wanaoendesha walemavu kwa maslahi yao

    Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayehughulikia watu wenye Ulemavu, Mhe.Ummy Ndeliananga akitembeza bakora kwa watu wanaohusika kuwaendesha watu wenye ulemavu kuomba FEDHA barabarani kwa maslahi yao Binafsi kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu. Ni kwa kile alichodai kuwa wanawatoza walemavu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  4. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu katumiwa video WhatsApp na aliekua na bifu naye akimla demu wake, je afanyaje?

    Inauma sana kumuona yule unayempenda akitoa penzi kwa mwengine hasa akiwa adui yako, nazungumzia unaempenda kweli kweli sio hawa ambao tupo nao ilimradi tu. Basi kuna kisa kimempata rafiki yangu, Kwa sasa ana stress nyingi mno, Kaachiwa jeraha kubwa sana moyoni, hata kula ni shida, hana...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tazama VIDEO mpya ya Rosa Ree -That Gal

    The Goddess Rosa Ree has come through with another BANGER titled #ThatGal The Tanzanian female rapper does not seize to amaze us with her versatility and limitless talent. In this new joint she has fused 3 languages that is English, Swahili and the Jamaican patwaa. The command and authority...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Hivi "vetting" hufanyika kweli kabla ya uteuzi wa viongozi? msikilize Kenani Kihongosi akitetea kitendo chake cha kucharaza viboko watu...

    Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive, lakini sijawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko watu hadharani...!! Rais John Pombe Magufuli pamoja na kwamba hapendi wahalifu na matumizi mabaya ya rasrimali za nchi ikiwemo fedha, lakini hajawahi kuamuru wahujumu uchumi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Video: DC wa Arusha alivyoimba mistari stejini kwa kurap

    Inakuwaje Wanajamvi! Ni yule Mkuu wa Wilaya Arusha Kenan Kihongosi aliyewachapa watu wazima viboko makalioni mbele ya watu na waandishi wa habari.
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Yaani hadi raha, mwendo wa hukumu hapo kwa hapo...viboko... Watanzania hunikumbusha mbali sana..dah!
  9. JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  10. JamiiForums Tanzania Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache Aidha, Membe, mwanachama mwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Video. Mshuhudie Humphrey Polepole akitema Yai

    Inakuwaje! Humphrey Polepole akiongea Kiingereza enzi hizo. Watu 'wanatokaga' mbali sana.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Goli la Clautus Chama, Plateau Vs Simba Sc

    Lilikuwa goli la kulazimisha na juhudi binafsi za Luis Jose
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Sakata la Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wanachama CHADEMA kufutiwa uanachama; Je, kuna anayemwelewa Spika Ndugai hapa?

    Mengine yaliyopita yote tunayaelewa... Hapa nimerudia kumtazama na kumsikiliza mara mbili tatu, sijafanikiwa kumwelewa kabisa. Kwangu mimi namuona kama mtu aliye "so desperate and confused". Hajali sheria wala taratibu ama katiba ya nchi tena... Spika Ndugai na wenzake huko CCM chini John...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kipande hiki cha video tafadhali

    Naombeni clip ya hii video
  17. JamiiForums Tanzania Video: Fisi anakera sana

    Mzuka wanajamvi! Licha yaFisi kuwa mlafi anakera sana. Ndio maana simba wanawauaga sana huko porini. Kisa cha chui akipata windo anapanda nalo mtini ni kwasababu ya fisi. Angalia iyo video walivyomkera huyo simba.
  18. JamiiForums Tanzania Video: Mabeberu yatupa karata ya mfa maji dhidi ya Rais Magufuli

    Binafsi nimetazama video hii iliyo andaliwa na mabeberu kuchafua taswira ya Tanzania, niseme tu, hii ni karata ya mfa maji. Tazama mwenyewe.
  19. JamiiForums Tanzania Tazama Video za Youtube bila matangazo

    Programu ya YouTube Vanced husaidia watumiaji wa Android kutazama video za Youtube bila matangazo na pia hutoa huduma zingine za kulipwa za Youtube bila kuchaji. Nilipata programu hii ya Android wakati nilikuwa nikitafuta programu kutazama video za youtube bila matangazo. Natumahi programu hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…