Naomba mwenye kipande hiki cha video tafadhali

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
5,196
2,000
Naombeni clip ya hii video
Screenshot_20201124-120243.png
Screenshot_20201124-120239.png
 

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
5,196
2,000
Dowload kitu inaitwa Shazam afu sikilizisha hiyo clip itakupeleka moja kwa moja you tube
MI staki kwenye you tube bali nataka video yake niwe nayo ili time yoyote niwe naicheki bila kuingia YouTube
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,027
2,000
Bushmamy Acha kutuzingua, si uingie you tube u search hiyo video, mbona taarifa zote kwa ajili ya kuitafuta zipo hapo!
 

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,117
2,000
ingia playstore download vidmate alfu utakuwa unadownload kupitia humo kitu chochote kile
 

Mgiriki Jr VI

JF-Expert Member
Dec 20, 2019
1,995
2,000
Download app ya vidmate ipo google ila playstore haipo ukidownload hiyo unaweza pakua clip zote za youtube....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom