video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

    Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan. Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
  4. E

    JamiiForums Tanzania Oscar Kambona in the video says Tanzania Government can not handle constructive criticism.

  5. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kufunga mkanda dereva nusura akanyagwe na tairi la gari

  6. JamiiForums Tanzania Kuzigusa nyoyo za watu

    The wining of hearts! Ukubali usikubali jamaa wako professional zaidi.
  7. JamiiForums Tanzania I really miss Magufuli, kila nionapo video yake au picha zake machozi hunitoka

    Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana. Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine, aliipenda Africa yake, hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu. He was...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video clip: Lamu updates

  9. JamiiForums Tanzania Ali Kiba nae kaanza ku promote video zake kwa kulipia mtandaoni

    Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

    Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video. Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

    Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli? Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto... Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Eminem aki-freestyle pamoja na mbabe mwenzake Proof (R.I.P)

    Ndo kwa mara ya kwanza namuona Eminem akitabasamu Icheck hapa:
  14. JamiiForums Tanzania Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

    Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu anawasalimia

    Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

    Katika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza. Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya pesa za makenikia, ni pesa nyingi sana, sasa sijui ni kweli au kiki msikilize.
  17. JamiiForums Tanzania Katika hili mlichemka pakubwa sana, haiwezekani tozo izidi kodi ambayo ipo kihalali

    Hebu angalia gharama hizi za huu muamala hapa chini[emoji116] 👉Gharama ya muamala(kodi) = 3500/= 👉Tozo ya mshikamano = 7500/= Hii uliona wapi? Hata kama ni uzalendo huu sasa ni unyanyasaji, hata kama ni mshikamano huu sasa ni mshikwamano. Yani tozo ambayo kiuhalisia ilipaswa iwe hiari...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Funzo maishani

    Tuangalie hii video fupi kisha kila mtu atoe yake ya moyoni
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

    Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
  20. JamiiForums Tanzania Katika hali na mazingira haya, ukimuuliza mbunge wako kwanini yeye halipi kodi kwenye kipato chake, unadhani atatoa utetezi gani ukamwelewa?

    Hii video ina-trend kwa kasi sana kwenye social media platforms mbalimbali WhatsApp, FB, Instagram, Telegram, Twitter nk nk. Ukweli huu umewakera wengi sana hususani wanapohusianisha na kodi hizi hatari za tozo kwenye miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu walizopitisha juzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…