video

  1. Video: Jamaa kamfumania mpenzi wake na kaambiwa hapendwi

    Ukisikia janga juu ya janga ndio kama yaliyomkuta jamaa, yani kamfumania mpenzi wake na bado kaambiwa kuwa hapendwi aondoke.
  2. Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen. Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi. ✍️ Mjanja M1
  3. Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa. ✍️ Mjanja M1
  4. Video: Baharia Mstaafu akitoa somo la kupima Rungubeshi

    Futa huu uzi
  5. Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
  6. Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
  7. Steve Nyerere: Hatuwezi kuingilia miamala ya nchi

  8. Viongozi wa dini ndiyo chanzo cha uvunjifu wa maadili kwenye nyumba za ibada

    Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
  9. G

    Video: Hezbollah wakishangaa uwezo wa teknolokia ya Iron dome ikipangua makombora wanayorusha,

    katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa, JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo kama wanavyofanyiwa na Hamas au Hezbolah ? Hezbollaj wanarusha roketi za dola elf 2 (shilingi milioni...
  10. Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

    "Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
  11. Video: Nani mwenye Makosa kwenye hii ajali ya Bodaboda?

    Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku. Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
  12. Video: Dotto Magari bila ya kujijua amemkosea Tajiri yake Manara

    Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani. Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo. ANGALIA VIDEO HAPA
  13. Video: Milele Amina

  14. Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  15. Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  16. Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

    Video vixen wa mapozi anaitwa Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya. Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki. Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
  17. Lord Eyez: Hata 1994 tulikuwa hatu-rap anavyo-rap 'Wakazi' sasa

    Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar. TUKIO: Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
  18. Video: Kanisa lenye fimbo za upako

    Angalia hapa jinsi waumini wanavyocharazwa fimbo za upako na mchungaji. Nini maoni yako?
  19. Video: Rais acheza wimbo wa Tyla

    Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla. Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
  20. Video: Mahaba Mahabati

    Ndoto ya kila Mwanamke ni kuwa na mshikaji kama huyu kwenye msimu huu wa Valentine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…