kiwanda kidogo cha bidhaa za ngozi ya ng'ombe haswa viatu na mabegi jijini Arusha wanahitajika mafundi wabobevu wa kutengeneza;
Mabegi mapya aina zote kulipwa kwa bidhaa ndogo waleti pc rate ni TZS 3,000 na begi kubwa pc rate ni TZS 10,000 na
Viatu vipya vya travolta kuanzia mwanzo hadi mwisho malipo kwa pea 1 ni TSh 8,000 lakini
Lazima mazao yaonekane kama ya Turkey, Italy na China ya grade ya juu
Malazi ni bure na
Chakula ni kifungua kinywa bure, mchana ugali bure lakini jioni ajitegemee fedha zake
Karibuni simu 0757 364 676 njooni DM kwa wenye ujuzi na uwezo wa maana tu