uzito

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

    Tukio hili liko mubashara Clouds tv na Channel ten. Viongozi wengi wamehudhuria wakiongozwa na Dotto Biteko waziri wa madini. Wengine ni Dr Mpango waziri wa fedha, CDF General Mabeyo, IGP Sirro na wengine wengi. Mwenye mzigo si mwingine ni yule yule mchimbaji mdogo Laizer na uzito wa hii...
  2. JamiiForums Tanzania Nguvu na uzito huu wa damu unasababishwa na nini?

    Hodi wakuu wataalam wa mambo. Leo ninahitaji mnisaidie jambo moja kuhusu nguvu iliyopo ndani ya damu inasababishwa na nini? Damu kimekuwa ni kitu ambacho kinaaminika kubeba maajabu na nguvu za ajabu sana za kutenda mambo. Mifano yake ni kwamba:- i/ Damu ya Yesu. Kuna watu wengi sana...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wajua Simu ya Mkononi ya kwanza Duniani ilikuwa na uzito wa kilogram 2 na ilijaa chaji kwa saa 12?

    Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola. Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973 walijaribu kupiga simu kwa kutumia simu hiyo ya kwanza ya mkononi iliyokuwa inafahamika kwa jina la Motorola...
  4. JamiiForums Tanzania Taboa: Nauli za mabasi zitaendana na uzito wa mtu

    Vitambi sasa basi, corona inawapenda wenye vitambi na kwenye usafiri wana nyanyasika.
  5. JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio. Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Majengo ya ofisi za mizani ya kupimia uzito wa magari(Weigh Bridge), yawe ya rangi moja nchi nzima na ikiwezekana hata ramani ya majengo iwe ni moja

    Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars vs Uganda

    Hivi timu yetu,SI inacheza Leo huko Kampala ,mbona kimyaaa!
  8. JamiiForums Tanzania Njia kumi rahisi za kupunguza Uzito

    NJIA ZA ASILI ZA KUKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO: 1. Tambua Mahitaji ya Karoli(Nguvu) Kabla hujaamua jinsi ya kula, unapaswa kufahamu ni Kalori(Nguvu) kiasi gani unahitaji kwa siku. Hii inaweza kupatikana kwa kikokotozi maalumu cha Kalori (Nguvu) kinachotumia kimo, uzito, umri na shughuli za...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye shughuli za kisiasa Bakwata hupewa uzito kama dhehebu mfano KKKT na Katoliki wakati linawakilisha waislamu wote?

    Huwa nashangaa kwenye shughuli za serikali au vyama vya siasa Bakwata huwa na mwakilishi mmoja sawa na madhehebu mengine kama KKKT, Anglican, Katoliki, TAG na Pentecostal wakati Bakwata ni Baraza kuu la waislamu wote. Kwanini Bakwata isiwe na uwakilishi wa mashehe hata watatu ili kuleta uwiano...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu saba kwa nini uzito wako utakuja kukuua ndani ya miaka mitano

    SABABU SABA KWA NINI UZITO WAKO UTAKUJA KUKUUA NDANI YA MIAKA MITANO. Uzito ni moja ya tatizo kubwa sana kwa sasa katika afya za walio wengi na madhara ya UZITO uliopitiliza ni makubwa na yanatisha sana kiafya katika maisha ya watu wengi. Ikiwa watu wataelimishwa juu ya madhara mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…