Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani.
Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito.
NAWASALIMU KWA JINA LA...
Wajuzi wa mambo naomba kupata ufahamu kidogo, kutokana na suala la lifti kuporomoka Millennium Towers nimeona baadhi ya wadau wakisema lift ikizidisha uzito haifungi wengine wakidai inatoa maelekezo kuwa watu wamezidi na kuwataka kupungua.
Je, ni kweli wanaodai hivyo wako sawa? Na kama wako...
Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha.
Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya...
Hii ni baada ya mahakama
Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa
Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji)
Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika
Kusimamia Mali zake kwenye wosia
Kuhusu mgawanyo wa Mali za urithi
Na hatimaye mahakama kunipa umiliki wa urithi 100%
(Mashamba 2, nyumba...
Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza hatua hiyo itafikiwa ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema na kuwa zaidi ya watu bilioni nne watakuwa katika hali hiyo.
Ripoti imeonesha four billion changamoto hiyo inaanzia kwa Watoto na Nchi zenye kipato cha chini au cha kati Barani...
Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka.
Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi
Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi
majukumu yanazidi..nahisi kudata!
Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza.
Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini?
Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga.
Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.
Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
Mkufunzi wa Mazoezi kutoka Shirika la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (NCD), Dk. Waziri Ndonde amesema katika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa mwanamke anayenyonyesha mwenye uzito kupita kiasi, anatakiwa kutumia dakika 150 kwa wiki kufanya mazoezi.
Dkt. Ndonde alitoa angalizo hilo...
Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii.
Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivyo nikaona Riziki tu kumbe...
Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70!
Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi!
Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua!
Naomba kama kuna...
Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20.
Wataalamu hao wa masuala ya silaha wamesema wanaamini kuwa PKK-20 ni submachine gun namba moja kwa ubora duniani na itaendelea...
Kwa miaka 20 kilo zangu ni zilezile sijaota mvi au kuzeeka, nilizaliwa nao ni wazee mimi niko vilevile, vibinti vya miaka 20 vinaniambia mambo wakati ninesoma na mama zao.
Hii hali inakera sipati heshima yangu, kuna mzee jirani yangu hajui jina langu huwa ananiita we kijana...sipendi.
Kwenye...
Katika Kituo cha reli cha Brussels Kusini nchini Ubelgiji, abiria wanatumia baiskeli za kuchaji vifaa vya elektroniki vya mkononi kama vile simu za mkononi, kompyuta za mkononi au kompyuta ndogo
Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe...
Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.
Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.
Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.