Uzi maalumu wa maandamano 7/7

Uzi maalumu wa maandamano 7/7

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,532
Reaction score
9,605
Tunaanzia wapi wazee
shita-pp.jpg
 
Turiopo mikoani tuanzie wilayani kwenda makao makuu ya mkoa. Tusisahau kupita kweny kambi za jesh kusaini
 
Niko na mwamvuli hapa kuna mvua kubwa inanyesha na magari ni machache mno watu wanahesabika barabarani
 
Achana na maandamano mzee fanya kibarua chako pata unga kale na wanao hilo ndio fungu lako kutoka kwa mola wako... siasa na biashara hapo wanasubiri wewe ufe halafu wanasiasa waitane Ikulu kujadili namna ya kula keki ya taifa baada ya wewe kufa
Maisha ya kimaskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom