Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Uzi Maalum wa Kunyooshana kwa Punchlines

Yeah hii ni weekend.
Ni muda wa ku spend.
Time na vichenji.
Baki home kama hupendi.
Huwezi kuspend bila vumba !
Kama Teja stend , mwanangu unayumba!
Iwe kwa Tsh ama rand, nawachanisha misamba!
Me ndio mamba ndani ya jf !
Nasukuma puli kwa vinabo kina mmkangafu!
Wananiita mwehu ila akili zao chafu !
Nawapiga denda wanadai nacheza rafu!
 
Mimi nakalisha ng'ombe itakuwa wewe ndama.
Hapa upo kwa mkali lazima utaungama.
Eti JF wewe ni mamba.
Embu acha ushamba.
Unajigamba.
Wakati huna hata shamba.
 
Mimi nakalisha ng'ombe itakuwa wewe ndama.
Hapa upo kwa mkali lazima utaungama.
Eti JF wewe ni mamba.
Embu acha ushamba.
Unajigamba.
Wakati huna hata shamba.
"Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa choko mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
 
Siku zote mwehu hawezi kuwa jiniazi.
Kiufupi we ni kiazi.
Kwanza vaa vizuri hiyo blauzi.
Then punguza mashauzi.
Msikilize kwa makini Mjomba Malume.
Anaongea yeye kama mwanaume.
Anasema punguza upaka shume.
Embu njoo kwanza nikutume.
 
"Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa choko mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
Mkuu umeua verse zako noma, watoto wadogo hawawezi elewa hata wakirudi skonga"
Mashairi kuntu yamesimama kama ndonga🤣🤣🤣
 
Siwezi kukimbia,coz hakuna anayeniweza.
Siwezi kimbia,coz vita naiweza.
Level zenu Tanzania,mimi level za Uingereza.
Mjikusanye familia,ila hapa hamtapaweza.
Unajisifu una level za Uingereza, wakati hata visa huna,
Upo hapa hapa Bongo, unakomaa na kula kimasikhara jf,
Unasema vita unaiweza, mbona baridi linakutetemesha?
Hiyo familia ukiona inajikusanya, ujue inakuja kukuzika na kukupoteza!
Unajiona upo juu, kumbe umebebwa na upepo wa dhoruba,
Huna jipya kwenye game, mistari yako imechoka kama tairi chakavu la guta
 
"Shamba unalima pamba , au ndo ushamba wakutembea unajamba?!"
"bwana mdogo ebu vaa kilemba, nikupe koni rambaramba!".
"Mi ni Simba mzee, huniwezi,we jike dume halima mdee !"
"njoo nikupulize kama zezee, uniite boss msafi mi ni chibu dee!"
"Nikuregeze puru mwendo wa choko mzee, nikuvishe shungi,usijitusu we ni anko tee!"
Unajifanya unagawa koni, kumbe unalilia vocha ya jero,
Huyo 'Simba mzee' unayejiita, mbona unafukuzwa na kuku wa kienyeji kwa mkwara mmoja
Unajiona Chibu Dee wa mjini, wakati unanuka jasho la kubeba zege,
Mistari yako imepinda pinda, imechoka kama tairi ya baiskeli ya mshale!
Kilemba unachosema nikivae, nenda kamvike bibi yako akatambike,
Maana tangu umeanza kurap, unatoa sauti kama wanakupiga mande.
Unasema unajua kupuliza zezee, kumbe hata filimbi ya doria inakushinda pumzi,
Kuanzia leo ukiandika upuuzi kama huu, rudi shule ya msingi ukasome herufi!"
 
1783106333446.png

Nye haya masera endeleeni kujiresi!
mtaamsha masta anaejua harasi!
mparamie vigagu muambulie fangasi!
tamu ya ngoma DJ msilete sarakasi!
kwenye mambo ya ujuzi inataka siriasi!
 
Back
Top Bottom