uzi maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubongokid

    Uzi maalum wa Maoni, Marekebisho na Changamoto kwenye Mfumo mpya wa IDRAS

    Habari za wakati huu; TRA Tanzania Jana niliweka uzi hapa kuhusu changamoto ya IP blocking katika Mfumo mpya wa IDRAS https://www.jamiiforums.com/threads/tangu-mfumo-mpya-wa-tra-kuanza-kuna-changamoto-ya-ip-kuwa-blocked-mnakwama-wapi.2421098/ Nawapongeza kwa kufanya marekebisho na sasa naona...
  2. R

    Uzi maalum wa Teknolojia inayokuwa kwa Kasi hivi sasa, Personal Cloud Server. HOMELAB au (NAS)

    Hallo. Hbr wana JF. Natumaini kila mtu atakuwa ashasikia kuhusu CLOUD SERVER, kama vile DropBox, Google cloud etc. Hizi huduma huwa zinapatikana kwa mothly rental fee au bure kwa limited access. Mfano Dropbox wanakupa only 2GB, huku Google wakikupa bure 15GB ya kuhifadhia data zako. Huduma...
  3. Munch wa Annabelle

    Uzi maalum kwa watumishi wa umma mbalimbali waliothibitishwa wana elimu za hapa na pale au elimu mbalimbali

    Habarini Naomba huu uzi uwe ni daraja la kuwatumbua wote wenye elimu za kuunga unga ili iwe kama tahadhari kwa wanaowateua na kuwapa nafasi. Hapa zitawekwa CV zao na itakua kama database ya wenye elimu za hapa na pale wote Tanzania nzima Karibu
  4. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Tunatokaje? Huu utakuwa uzi maalum. Mihemko tuweke pembeni. Ila ukweli na suluhu tusiviache

    Hamjambo wakuu! Poleni wote kwa yote yaliyotokea. Waliopoteza wapendwa wao, waliopata majereha, waliopoteza mali iwe kwa kuibiwa au kuchomwa moto. Na zaidi Mungu awape pumziko linalowastahili waliopoteza maisha. Upande wangu mambo yalikuwa magumu sana ukizingatia ninapoishi na karibu kabisa na...
  5. Lord Denning

    Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  6. Jaji Mfawidhi

    Uzi Maalum wa Ahadi za Uongo za Wanasiasa kuelekea October 2025

    Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni? Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
  7. Mr Dudumizi

    Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  8. Dr. Zaganza

    Wale Wanaopanga kumiliki magari used ya bei Nafuu: Tazama plan Yetu bila Riba

    Habari zenu wakuu. Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja. Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
  9. Afghanistan

    Uzi Maalum wa kumpa moyo, faraja au kumtakia heri Tundu Antipas Lissu

    Ndugu Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza...
  10. Wakusoma 12

    Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  11. Beira Boy

    Uzi maalum wa maswali: uliza swali lolote hapo chini utajibiwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Uliza swali lolote hapo chini utapata jibu kutoka kwa wataalam wetu Asante sana LONDON BOY
  12. Setfree

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji "reforms"

    Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji 'reforms'" Kaa siti ya mbele, nikusimulie vituko na mikasa ya kweli iliyosababishwa na wanywa bia/pombe, halafu ujibu swali langu: "vituko na mikasa hii ndio faida za bia/pombe?" SEHEMU YA KWANZA(I) Visa na vituko vifuatavyo ni...
  13. KING MIDAS

    Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  14. Meneja Wa Makampuni

    Uzi maalum: Madini, gesi na mafuta 2025 - 2050

    🛢️⛏️ UZI MAALUMU: MADINI, GESI NA MAFUTA ⛏️🛢️ Karibu kwenye uzi huu maalumu ambao utakuwa mahususi kwa mambo yote yanayohusu madini, gesi, na mafuta. Hapa tutaangazia: ✅ Fursa zilizopo kwenye sekta hizi ✅ Changamoto zinazokumba wawekezaji na wananchi ✅ Taarifa na sheria muhimu kuhusu umiliki...
  15. Roving Journalist

    GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Mchungaji...
  16. MFALME WETU

    uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  17. wa stendi

    Uzi maalum wa kurushia unayefana naye

    Yaani huu uzi unarusha picha ya unaejua anafanana na wewe (pacha). Kwa mfano naanza na mimi. Huyu ndie pacha wangu Karibuni😔
  18. Right Marker

    Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  19. W

    Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  20. Area 56

    PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
Back
Top Bottom