Uzee Usman Adeyemi (born November 11, 1986) is a Nigerian actor and film Producer known for his film Oga Abuja. His ability for fusing Nollywood and Kannywood won him several awards and recognitions including Young Entrepreneur of the Year at the 2016 National Heritage Award.
Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi.
Ndiyo maana:
• Jifunze mapema
• Fanya kazi kwa bidii
• Jenga nidhamu
• Heshimu muda
•Acha masihara na maisha...
SERIKALI IANZISHE PROGRAM YA WATU KUCHANGIA KWAAJILI YA UZEE. IITWE "KIZAZI SALAMA FUND (KSF)". ILI KILA MZEE WA TANZANIA ALIPWE POSHO KWA MWEZI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Watu wote nchini ni muhimu. Na wote kwa namna moja ama nyingi wanamchango katika ujenzi wa taifa letu.
2...
Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha.
Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho.
Hata sisi tulidanganywa sasa kuwa taifa la kesho mwisho wa siku tunafanya mambo ya kijana wakati ni watu wazima.
Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu?
1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia
2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja
3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni.
Je, waonaje? Vyapoteza maana halisi kwa...
Za saizi wakurugenzi?
Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu.
Ni uzee au ndo nimerogwa?
Fikiria hii picha...
Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi kusumbua mitandao wala kuishi maisha ya balaa.
Sasa tafakari kama babu yako angekuwa TikTok...
Kifo hakieleweki; wengine tutakufa kabla ya uzee,
wengine tutazeeka kwanza kisha umauti utatufika
Nguvu tulizo nazo zitaisha, matumaini yatayeyuka, na hatutakuwa tena na nafasi ya kurekebisha yaliyopita.
Maisha haya ni safari fupi yenye misimu mingi, isiyo tabirika
Je, ni njia gani sahihi ya...
"Kijana, ukiyakimbia maisha kama mkimbizi, jiandae kupokewa na maafa. Maana mwisho wa safari unaweza kuwa mzee wa hovyo asiye na hadithi ya maana." — Alloyce, P.R.
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake .
Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine .
Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema.
Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa.
Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano,
1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.
Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa...
Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo.
Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi.
Tukomeshe:
Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo;
1. Tembea hatua 10,000 kwa siku
2. Kula kwa wastani
3. Punguza wanga
4. Epuka vitu vyenye sukari
5. Epuka sigara, pombe
7. Pata muda kidogo wa...
Salaam, Shalom!!
SHERIA zetu ziko wazi kuwa, miaka sitini ni umri wa kustaafu, inaaminika baada ya miaka 60, uwezo na nguvu za kufanya KAZI Huwa unakuwa umefika KIKOMO na kuanza kupungua Polepole. Mzee mwenye umri wa miaka sitini , ndoto zake Huwa amezihamishia Kwa watoto na wajukuu zake...
Wakuu mpo Salama!
Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika.
Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee.
1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio
Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko?
Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya!
Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩
Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika?
Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.