uzee

Uzee Usman Adeyemi (born November 11, 1986) is a Nigerian actor and film Producer known for his film Oga Abuja. His ability for fusing Nollywood and Kannywood won him several awards and recognitions including Young Entrepreneur of the Year at the 2016 National Heritage Award.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushimen

    Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  2. W

    Ongezeko la misambwanda mtaani kunavyonifanya nizidi kuuogopa na kuuchukia uzee!

    Kila unakopita, watoto lainii na wazuriiii wanaongezeka kila siku na wanazidiana tu katika kuiachia misambwanda yao ikitetema.....ajabu kila mwanamke analo sambandwa la haja siku hizi. Nina uhakika the case is the same kwa Kapeace wetu humu. Hali ipo hivyo kila mkoa, ila Dar ndo...
  3. Sky Eclat

    Madonna anajitahidi kupingana na uzee

    Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna wanaofikia uzee kabla ya kidogo. Binadamu anapojitahidi kupambana na utaratibu wa Mungu huwa inamgharimu...
  4. Mwizukulu mgikuru

    Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya

    Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wetu wamekuwa ni miongoni mwa sababu mojawapo ya vijana wengi kunyimwa ajira kwa kigezo cha uzoefu. Wazee wanawasagia kunguni vijana. Sasa kumezuka wimbi kubwa la wazee kulazimisha kupewa msaada wa hali na...
  5. Sildenafil Citrate

    RIPOTI: Hii ndio sababu ya kifo cha Malkia Elizabeth II

    Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8. Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho. Kifo cha marehemu Queen...
  6. ragin

    Waliopata mali uzeeni ndio wanaongoza kwa kuukataa uzee

    1/ Hawapendi heshima ya salamu hii shikamoo 2/Wakwe zao (wapenzi wa watoto wao) wakiwaona chap hujiweka kana kwamba wanalingana. 3/Wanaongoza kwa ubabe wa michango ili waonekane wako juu kumbe wanapumulia mifuko ya watoto wao. 4. Hawa wastaafu wanaongoza kwa kujadili maisha (kwa kuhisi) ya...
  7. Equation x

    Uzee wako unataka uweje?

    Natamani nikifikisha miaka 60 kama Mungu atajalia, nisiwe natumia nguvu nyingi sana za kupata ugali kwa siku. Kama itawezekana, uwe ni umri wa kucheza na wajukuu pamoja na kwenda kuwinda au kushangaa kobe porini. Siku ya ibada kwa sababu mimi ni mkiristu, nisiwe nasali katika kanisa moja, bali...
  8. Miss Natafuta

    Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  9. Doctor Ngariba

    Kati ya madirisha sita ya teller wa NMB, manne TEMPORARILY CLOSED. Hii tabia inakera!

    Mambo vp wakuu, NMB acheni ushamba na uzee 1. Hivi kwa dunia ya leo yenye furniture za bei chee mnashindwa hata kuweka utaratibu wa wateja wenu kuketi kwenye viti wakiwa wanasubiri huduma? Hebu jifunzeni kwa wenzenu na mtambue kuna baadhi ya wateja hawawezi kusimama kwa muda mrefu. 2. Huu...
  10. BAK

    Uzee mwisho Chalinze

  11. Analogia Malenga

    Mjue samaki ambaye hawezi kufa kwa uzee

    Samaki kwa jina Jellyfish Turritopsis dohrnii hana ubongo na moyo na anadhaniwa kuwa kiumbe pekee asiyeweza kufa duniani; ainaishi katika maji ya kitropiki. Kama wanasayansi walivyothibitisha, jellyfish hawafi kwa uzee kwani huishi hadi umri fulani kisha wanaanza kuwa wadogo na kurudi kwenye...
  12. wa stendi

    Hivi huu upande mwingine nao kunakuwa na mvi?

    Sorry kwa swali kama litawaudhi naomba mnisamehe/kumradhi. Wakati mwingine huwa nawaza katika maisha uzeeni huko mbele sijui itakuja kuwaje,sasa leo nimekaa katika kuwaza likanijia swali. Katika mwili wa binadamu Mungu alituumba na kutuwekea kinga za ndani ya mwili na kinga za nje ya...
  13. Fene

    Ni ukweli usiopingika

    Kila unavyokula ndipo unatafuta ama unaongeza nguvu ya kukufikisha uzeeni. Ushauri: Kwa wale wote wasioupenda uzee wanashauriwa kuacha kula.
  14. Ossy167

    Mapadri wakizeeka wanapewa mafao ya kujikimu?

    Hello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
  15. Abrianna

    Its My Birthday, uzee unaniandama

    Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo. Wale...
  16. Sky Eclat

    Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
  17. Delegate

    Nazeeka, naogopa!

    Ndugu zangu, Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana, nazeeka na nimeingiwa na hofu, nimegundua nauingia utu uzima, nimechukia, naogopa nahisi maisha ndio basi, kila nikipita nasalimiwa shikamoo, sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana, naogopa sana uzee. Mvi zinabisha...
Back
Top Bottom