Wanabodi
Baada ya ile miamala ya account ya kigogo fulani kuvuja hadharani kwa mtindo wa whistleblower kule kwenye ile page ya kale kadada kamodo kakichaa cha kulee,japo ninakishukuru kwa whistleblowing, kwa akina sisi na public kuona miamala ya waajiriwa wetu nyeti wa kodi zetu na biashara...
Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na
kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze
Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto
Wapewe training ya kujenga miradi mikubwa kama treni za umeme, interchange, n.k
Watafundishwa wawe na malengo wakubwa...
Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado.
Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa.
Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa...
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!
Nimemfuatilia hotuba zake sioni hoja za msingi wala sera zenye tija kwenye nchi yetu.
Raisi hana uwezo wa kuongelea au kukemea mauwaji na utekaji na ufisadi yeye anaonekana kuwatetea watu hao na kurusha lawama kwa wanao shauri na kukemea mambo hayo.
Nashauri raisi samia asigombee miaka mingine...
Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!.
Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
Neno kenge ni binadamu kuwa uhai si kitu ila wa binadamu mtoto wa raisi ambaye abdul ni kitu.
Nchi zilizoendelea hata kama ni mkimbizi lakini wapo makini kuangalia wewe utafanana na abduli.
Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!!
Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya...
Habari za wakati huu Wana-JA.
Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo:
1.Assistant Community Development officer (CDO)
2.Administration Officer
3.Assistant HR
4.Store keeper (Whare house)...
Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
boti
hawana
haya
itakuwa
klabu
klabu ya simba
kupigwa
kwenda
laana
lazima
mashabiki
mechi
milele
mpaka
mungu
nauli
radhi
simba
uwezo
wewe
yakubali
yathibitisha
zanzibar
Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya...
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
REA alishindwa kufanya utafiti wa mahitaji umeme kama inavyotakiwa na badala yake ilitegemea takwimu zilizopitwa na wakati, hali iliyosababisha makadirio yasiyo sahihi ya mahitaji ya umeme. Pia, kulikuwako na ongezeko la gharama ya Shilingi bilioni 15.34 kutokana na maandalizi hafifu ya...
Mwanasiasa wa Pakistan
Tengeneza makazi ya wazi na ya siri
Usile kizembe
Tembea na silaha za jadi na miliki kihalali silaha za kisasa
Tafuta waganga wenye uwezo wa Kuuwa mtu akikuumiza,kukusingizia kesi aliyekukamata hakimu aliyekuhukumu wakili anayetetea maovu usimuachie Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.