uwezo

  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni sawa kuwa na wanawake wengi kama uwezo unaruhusu

    Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake . Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga wanafanya CAS watudharau na kuhoji uwezo wa kufiikiri wa watanzania wote

    Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu. Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani. Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
  5. Now and then

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

    Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
  6. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Cha ajabu kuhusu huu ukata mkali ni kwamba vijana wenye tabu wanazidi kutaabika zaidi ila wenye uwezo wanazidi kuwanyonya wenye tabu

    Ndio ile unasikia mtu anafanya internship miaka 6 and out of no where anaambiwa na HR "kwa sasa hivi kampuni inapitia msoto wa kifedha kwa hio hatutaweza ku-afford kukuajiri, kwa hio kila la kheri ila nafasi zitakapo tokea tuta ku-consider wewe wa kwanza" Unaambiwa hivyo kumbe nafasi yako...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yesu hakua na uwezo wa kupaa

    Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  10. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Isiwe feki,yenye uwezo mkubwa na ya kisasa.....

    Wakuu swalamaa...... Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu. Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kijana kama huna uwezo wa kuhudumia familia usioe

    Habari za asubuhi Wanajamiiforums. Leo nawakumbusha Vijana. Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
  12. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake?

    Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani, Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki, Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita? Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu...
  14. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  15. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

    Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ishi kulingana na uwezo wako, usikimbizane na walimwengu

    Watu wengi siku hizi wanaishi Kwa presha sana,hii ni kutokana na kuiga mafanikio ya wengine, Kama vile,Nyumba nzuri,biashara,usafiri wa uhakika na uwezo wa vitu vingi. Hii inasababisha kufanya mambo Kwa kufuata majira ya mwaka. Utasikia nataka ifikapo mwakani niwe na hiki au nimefanya...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu: Hivi tumekosa kabisa uwezo wa kujenga Marinas za kuegesha Boti zetu?

    Nimeona picha za Mhe. Rais kuzindua Boti za Wavuvi huko Tanga. Cha kusikitisha pamoja na nchi yetu kuzalisha Ma engineer tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mradi huo wa Boti za Uvuvi unazinduliwa kwenye Pwani ya Bahari ambayo haina hata eneo maalum la kisasa la kuegesha na...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielimu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa?

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa...
Back
Top Bottom