Bei/Price TSH 15.5M
Call +255 747 999 927
TOYOTA SURF
Year: 1996
Engine: 2.7L
Mileage: 100K
Transmission: AUTO
Sunroof
Sport Rims
Android Radio
Clean Interior
In Good Condition
Exchange Possible
Wana JF habari
Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa.
Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja akaniambia inabidi uwe unakunywa Balthazar nikamwambia ipo vipi ? , off course alinipeleka katika...
kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule
Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo
Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja
Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni.
Na hapo...
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo.
Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku.
Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko...
Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili.
Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
nimeona watu wengi wakitumia njia ya anonymous kupost mambo ya siri au nyeti kwenye magroup ya Facebook, wakiamini kwamba hawawezi kutambulika. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa ukweli halisi kuhusu jinsi mfumo huu unavyofanya kazi.
Kumbuka: Ingawa anonymous posts hazionyeshi jina lako kwa...
Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako.
CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni.
Kama umesahaulika huko; JF ni sehemu ya wewe kuonyesha unaweza, jenga nchi.
Be it in the process make CCM first and be yourself on...
NGUVU NA UWEZO WA AJABU WA ADAMU
Adamu, akiwa kiumbe wa kwanza kabisa kuumbwa na Mungu, alipewa mamlaka makubwa na uwezo wa kipekee juu ya viumbe wote wa duniani. Tofauti na wanadamu wa leo, Adamu hakuwa na hofu wala upungufu wa nguvu. Biblia inasema:
“Kisha Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa...
Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani.
Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks.
Kila API ilikuwa kama mlango wenye funguo tofauti—na kupata kila kitu kifanye kazi pamoja ilihitaji muda, pesa, na nguvu kubwa...
Wanabodi
Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 kwa Tanzania Bara na Visiwani, je wanachopinga ni
mchakato ulioikiuka katiba ya CCM au...
UJUMBE:
Wana-Moshi Vijijini,
Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu.
Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management?
Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani?
Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi?
Alafu wahuni kama hawa...
Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma.
Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
Its a blessing and curse in between.
Utapiga style hii, kesho itakukumbusha haujapiga style hii, kwa hio, huyo nduki unamtumia nauli aisha.
Ni nishati ya kipekee ambayo imeshikilia hatma ya maisha ya mwanamke na mwanaume, ni nishati ya kipekee ambayo itatafsiri stori ya mtu iliobaki katika...
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.
Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.