uwezo

  1. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wachawi wanaaminika kuwa na uwezo wa kuzungumza na wafu ili kupata maarifa ambayo wao huita hekima

    'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza. Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Arusha: RC Kihongosi akionesha uwezo wake wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya

    CCM ina hazina kubwa Cheki Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kihongosi akionyesha uwezo wake mkubwa wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya https://youtu.be/eJgyNBrkPas?si=MrgfOBY0Fj3NtgUB
  3. S

    JamiiForums Tanzania law graduate

    Anahitajika kijana aliyemaliza degree ya SHERIA. Umri usiwe zaidi ya miaka 30 awe mkazi wa Arusha.
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Utaifa, Utalii na Uwezo wa Kujitambua: Safari ya Ndani ya Tanzania Yetu

    Ndugu wanajamii wa JF, Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu. Katika ardhi hii ya kheri, tuliyoirithi kwa jasho na damu ya wazalendo, kuna maajabu yasiyoandikwa vitabuni wala kueleweka...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  6. U

    JamiiForums Tanzania "Ukiwa na uwezo wa kumswalia mtume mara mia moja kwa siku hakuna siku utalala njaa mpaka unakwenda kaburini

    Nukuu ya Dr Sulle
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Sasa naamini upo uwe binfsi wa kipumbavu , na upo uwezo binafsi wa kimungu

    Leo sito salimia kwa mara ya pili wakuu wangu jf maana ni mada ya pili leo. Rejea mada tajwa hapo juu. Aliesema akili ndogo haiwezi endesha akili kubwa ,tumheshimu sana pamoja wenda na mapungufu yake. Thanks
  8. proton pump

    JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wamarekani walimpiga chini Biden Kwa kukosa uwezo sisi tunashindwa nini?

    GT. Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni? Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu

    Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watu wazima mliofika 45+, ni rika gani kwa uzoefu wenu uwezo wa sex na ku enjoy huwa kwenye peak ?

    Ni rika lipi Sexual perfomance huwa juu zaidi 18 - 24 25 - 29 30 - 34 35 - 39 40 - 44 45 - 49
  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ijuwe B52 Stratoftress: historia na Uwezo wake

    B-52 Stratofortress ni ndege kubwa za kijeshi za Marekani, zilizotengenezwa na kampuni ya Boeing. Hizi ndege zenye nguvu zina historia ndefu na zinajulikana kwa uwezo wao wa kubeba silaha kubwa na nzito. Historia yake: Ilianza kutengezwa mwaka 1952, na kuanza kutumia rasmi mwaka wa 1955...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  17. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Naenda moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa. Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine. Mzazi mwenzangu...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hivi mzazi ukiwa una uwezo unaweza kuruhusu mwanao ajiunge na kazi za majeshi ?

    Naomba tujadili hii hoja. All I know people join in military because had no better option in life . Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
  19. W

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

    Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel...
Back
Top Bottom