uwezo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza vioja kwa lengo la kulichafua Kanisa Katoliki kunadhihirisha uwezo mdogo wa akili wa wapanga huo uovu

    Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ukijuana na anayekuzidi uwezo, jitahidi kuficha njaa zako

    https://m.youtube.com/shorts/9yn5UKUP3yM Hii inakata stimu sana. Umepotezana miaka kibao na jamaa yako, mnakuja kukutana hivi karibuni. Unashindwa kabisa kuficha njaa zako, sms za simu za virungu kibao. Umetambulishwa kwa mtu anayekuzidi uwezo basi chota maarifa. Najua hatuishiwi shida...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
  4. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Katika vita vya pili Ujerumani had the best military technology kuliko USA wala Urusi lakini ilikuwaje wakashidwa vita?

    Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na kitekilonojia sasa hebu leo hebu tujikumbushe ugundunzi uliofanywa na wajerumani 1.kombola la v2...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Warsha inayofadhiliwa na China yaboresha uwezo wa biashara wa wajasiriamali wanawake wa Ethiopia

    Hanan Ahmed, mmoja wa wajasiriamali 66 wa Ethiopia waliohudhuria warsha ya Programu ya Uwezeshaji wa Ujasiriamali wa Wanawake Duniani (GFEEP) inayofadhiliwa na China huko Addis Ababa, nchini Ethiopia, alikamilisha programu hiyo akiwa na moyo wa mafanikio na ujuzi mpya alioupata katika masuala ya...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Arsenal wananipima uwezo wa kuhandle stress au?

    Naona dalili zote za kupata pressure. Yaani vitu vingine unaweza ukalia. Okay muda bado upo ngoja tuone.
  7. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi...
  8. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ngorongoro wajengewa uwezo, wakumbushwa kujiimarisha katika masuala ya mawasiliano na itifaki za kijeshi

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo. Kaimu Meneja Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Hamis Dambaya amesema kuwa kufanyika kwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya mwisho ya mwanaharakati aliyetekwa mbele ya watekaji. Dunia husau haraka

    HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani nilipokuwa Msanii wa muziki. Najua utajiuliza ni lini TaikonMaster aliwahi kuwa mwanamuziki. Lakini...
  11. nkuwi

    JamiiForums Tanzania Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  12. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 7 JKT kama mama wa uchumi - mfumo uliyoua uwezo wa taifa kwa makusudi”

    Hapa tunafungua ukurasa ambao mfumo haujawahi kutaka uandikwe. Hapa ndipo roho ya JKT inajitokeza kama mzimu wa baba aliyenyang’anywa ardhi yake na majambazi halafu akaitiwa polisi ati ni kelele anapiga. Karibu. JKT Ilipangwa Kuwa “Uchumi wa Taifa kwa Ujumla”, Sio Idara ya Parade. JKT...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Wenye uwezo wa kuaplod nimbo ya Dr Remmy ya Nyerere naomba waweke hapa mie ni nimendwa kuna ma madini Mle

    Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje? Ni baadhi ya maneno yapo kwenye wimbo ule ,tafadhari ,wenye uwezo kuuleta winbo husika ebu fanya hivyo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Revocatus Kuuli: Hakuna nchi yoyote Mwanachama wa ICC inaweza kukwepa kuchunguzwa

    Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa waliopatikana na hatia wanapelekwa jela ipi Fedha za kuendesha kesi ICC hutoka wapi Mawakili wa...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia alikuwa na uwezo wa kujenga kukubalika baada tu ya kuwa rais na angeweza kuwashinda upinzani lakini uwezo mdogo umempeleka pabaya

    Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika. Samia angeweza kuwashinda wakina lissu, kwanini lissu akubalike lakini samia asikubalike, hapana samia...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waandishi wajengewa uwezo wa kutofautisha noti halisi na bandia

    Katika jitihada za kulinda thamani ya Shilingi na gharama ambazo Serikali hutumia katika kuchapisha fedha mpya, Wananchi wameshauriwa kuwa na uelewa mpana juu ya alama za usalama zinazopatikana kwenye noti halisi pamoja na mbinu za kuzitunza kwa usahihi. Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2025...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya D9-Tusidharau uwezo/nguvu za Gen-Z

    Katika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29. Lakini niseme vijana ni kundi kubwa sana na wanawaza faster na uwezo wao ni mkubwa kuliko makundi mengine. Nawahakikishia Gen-Z will bring...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

    ..hivi ni kwamba hana uwezo? ..au hajali haya yanayoendelea? ..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi? NB: ..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Back
Top Bottom