Uislamu wa Majini na Historia Yao Kabla ya Mtume Muhammad ﷺ
Katika Qur’ani na Hadithi, kuna maelezo yanayosema kuwa majini waliumbwa kabla ya binadamu, na walikuwa na uwezo wa kubeba dini na kumwabudu Allah. Hii inatupa msingi wa hoja na maswali mengi sana kwasisi tunaopenda kutoka nje ya box...