Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 21,813
- 23,365
Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, na kumuhakikishia ushindi wa kishindo wa urais 2025, atakapogombea nafasi hiyo ya juu kabisa nchini, kwa ngwe nyingine ya pili.
Ni wabunge wa majimbo gani wanabebwa na umahiri wa hoja bungeni, uchapakazi majimboni, mipango, kutetea wapiga kura wao na record za maendeleo kwa wanainchi wao wana uhakika wa kurejea bungeni 2025?
Kwa muda uliobaki wanaweza kukonga nyoyo za wapiga kura wao, kubadili uelekeo na kujihakikishia urejeo mjengoni?
Kumbuka,
Ikitokea mbunge wa sasa hakufanikiwa kurejea bungeni baada ya uchaguzi wa 2025, basi kaa ukijua kuwa, kwa asilimia 100% atakua replaced na mgombea au mbunge mwingine kutoka ndani ya CCM yenyewe.
Friends, ladies and gentlemen,
Ni kujipanga tu.🐒
Mungu Ibariki Tanzania