Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo
1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election).
Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu.
Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha.
Mara kwa mara nimekuja humu jukwaani nikasema kuna umakusudi unafanyika katika kukwamisha ukarabati wa pale uwanja wa Mkapa. Juzi juzi...
IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post'
Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar angechukua nafasi ya kaka yake, Yahya Sinwar, kama kiongozi mpya wa Hamas.
IDF mnamo Jumanne 5th May 2025...
Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja
Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti
GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports.
Na GDP ya China huwa haihesabu...
Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili.
Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini...
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
amani
barabarani
bila
chadema
heshima
inawezekana
kuelekea 2025
kuzuia
lissu
maandamano
no reforms no election
siku
tundu
tundu lissu
uchaguzi
uhalisia
uwezekano
Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa.
Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi.
#UziTayari
Hivi vitu vya fasheni uwa navichukulia poa, kumbe mi bado sana.
Pochi ndogo sana hizi tena pair moja, ila bei CIF + TRA ya gari.
Mimi kununua mkanda Million 2.6 dah bado sana.
Je, sunglasses kwa 2 Millions?
Kuna uwezekano ata hawa majina makubwa wanatumia fake, tena quality ya chini...
Wakuu huu ukimya imekaaje? NETO wamelambishwa asali na huenda ndiyo chanzo Cha ukimya wao. Vijana tuendeni tu shambani vijana wenzetu wameula Hawa na wameamua kulala mbele.
Habari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo...
Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha baada ya miaka 15 ijayo kama ilivyofanya bitcon? Wataalam wa sarafu za kidigital mnaweza kuzungumza hapa
Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana.
Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.