uwezekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tukio la kijiografia la jua kupotea kwa muda linakwenda kutokea 14 Disemba, 2025 na upo uwezekano wa tukio jingine kubwa kutokea

    Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na mwezi na mwanga wake utakuwa kama umezimwa.bkwa dakika kadhaa, joto la Dunia litashuka ghafla, jua...
  3. Papaaa mukuubwaaa

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nyerere(1960): Hakuna uwezekano wa Jeshi la Tanganyika kuasi na kupindua serikali

    Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo. Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana. Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95

    Haya ni maoni yangu: Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano. Kwa Tanzania yetu hii...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kim Ju Ae mtoto wa Kim Jong Un ni mtoto mwenye uwezekano mkubwa" wa kumrithi Kim Jong Un

    Kulingana na shirika la kijasusi la Korea Kusini, Ju Ae ndiye anayetarajiwa kuwa mrithi wa babake. Ju Ae, anaaminika kuwa mtoto wa pili wa Kim Jong Un na mke wake, Ri Sol-Ju, wakiwa na watoto watatu. Hata hivyo Kim ni msiri sana kuhusu familia yake, alimtambulisha mkewe kwa umma baada ya muda...
  8. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni Single member company ?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder? Kuna tafiti zinaonyesha kuwa kulingana na mabadiliko ya sheria hili swala linawezekana, ila nimeona...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri kama itawezekana na itawapendeza Wahusika naomba leo Kipa awe Aishi Manula kwani naona upo uwezekano wa kwenda katika Penati

    Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

    Declaration of Interest. Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

    Habarini wakuu. Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata? Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano ukaweza kufanya majukumu yote hayo mawili kwa nyakati moja!? Na je utayafanyaje na utapangiliaje muda...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano yaliyosemwa kwenye Biblia na manabii wa Mungu yanatimia kwa sasa?

    Habari za wakati huu popote ulipo.Je yaliyosemwa kwenye biblia yanatimia kwa sasa? Katika biblia kuna ujumbe juu ya ishara na matukio mbali mbali yatakayo tokea kipindi tunaelekea wakati wa ujio wa mwana wa Adam. Biblia imetaja juu ya vita kati ya taifa na taifa,falme na falme na...
  13. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je? Kuna uwezekano wa kupata line ya pocket wifi router?

    Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je yaliyotekea awamu ya tano na awamu ya sita ya yapi hasa yamebadilika kuna uwezekano mkubwa Mzee kijana kaambiwa inatosha sasa kama super black.!

    Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana. Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
  16. snipa

    JamiiForums Tanzania Je kifurushi chako cha MB, dakika au SMS kikiisha muda wake wajua kuna uwezekano anauziwa mteja mwingine?

    Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake. sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi? Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu

    Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
  18. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Je, Upo uwezekano wa mfumo mpya wa kiutawala kuzaliwa?

    Katika historia ya mwanadamu, mifumo ya kiutawala imekuwa kama wimbi linalofika ukingoni na kurudi baharini, haikai mahali pamoja. Tulishuhudia ujima, tukazama kwenye ukabaila, tukakumbatia ujamaa, tukakimbilia ubepari, na sasa tunaishi kwenye kivuli cha kile kinachoitwa Uliberali wa kisasa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
  20. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano yanga wanashida kwenye mahesabu yao ya kifedha au janja njanja

    Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa "Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu wa 2023/2024 ni 200 MILLION kitu ambacho SI KWELI. Ubingwa wa Kombe la Shirikisho ni 50M Miaka yote...
Back
Top Bottom