uwekezaji

  1. J

    Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

    Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder. Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na...
  2. Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  3. Maono ya Rais mama Samia kuhusu uwekezaji nchini kwenye nyuzi 360

    Mh. Rais mama samia anaamini kwamba wawekezaji wakija kwa wingi nchini watachangia ukuaji wa uchumi kwa kasi ambapo kwa sasa kinachowakwamisha ni complications zisizo na ulazima, kodi zisizo rafiki na vibali vya kazi kwa wawekezaji. Kuna watu wanajenga hoja kwamba mtizamo huu wa Mh.Rais...
  4. Mama Samia, piga chini wale wote walioshiriki kuhujumu uchumi, uwekezaji na biashara!

    Msimamo wa Rais Samia Suluhu sasa unaanza kueleweka vizuri. Yale tuliykuwa tukilalamika mitandaoni kutwa kuchwa ameanza kuyashghulikia bila kupepesa macho wala kupoteza muda. Tlilia kuwa kuna juhudi za makhsusu za kwafilisi wazalendo walipa kodi, laki wengine walikejeli na hata Waziri Mwigulu...
  5. Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

    Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze uwekezaji wa kutoka nje lakini pia wa ndani ya nchi. Hata hiyo sio tu kwamba kasi ya uwekezaji kwa...
  6. Uwekezaji katika shule za awali (chini ya miaka mitano) ni muhimu

    Kuna umuhimu wa kuwekeza zaidi katika elimu ya awali. Wana saikolojia wanasema umri huu ndiyo umri wa ku ‘make or break a child’ yaani mtoto akikosa muongozo, mapenzi na malezi katika umri huu ni rahisi kuharibikiwa kabisa huko mbele. Jamii tunayoishi wakina mama wana mchango mkubwa katika...
  7. Tusifurahie uwekezaji wa Rostam Azizi tukasahau tulivyopigwa kupiti Kagoda, Epa na Richmond

    Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba. Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi wengi waliokuwa wanaliibia taifa letu walikuwa ni viongozi wa Ccm. Mmoja wa watu waliosadikiwa kuwa...
  8. Duh! Investors Pour Billions in Kitengela, Athi River to Rival Nairobi

    Greenpark Estate in Athi River. FILE Over the last 3 years, at least Ksh 300 billion has been poured into development projects in the city outskirt towns of Kitengela and Athi River. From malls to gated communities to whole city projects, the two towns have seen a major influx in...
  9. Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  10. Eneo linauzwa au uwekezaji gezaulole Kigamboni lina heka 600

    Wadau jf habari za humu ndani kuna eneo kigamboni linauzwa gezaulole lina ukubwa was heka 600 kwa wawekezaji au watu makampuni ya kupima viwanja na kuuza fursa hii au makumpuni makubwa kuweka kiwanda
  11. Nyanda za Juu Kusini: Uwekezaji kwenye Kusafirisha abiria (Niliyojionea)

    Habari Wanajamvi...Heri ya Mwaka Mpya ! Nipende kuleta kwenu mtiririko wa matukio na hali halisi niliyoshuhudia katika kuelezea sekta ya usafirishaji (abiria) nyanda za juu kusini (Iringa,Njombe,Ruvuma na Mbeya).Kutokana na uchangiaji wa moja kwa moja wa sekta hii kwenye uchumi na uhitaji wa...
  12. B

    Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

    Habari za boxing day wananchi, Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma. Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
  13. Tumepiga hatua katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini lakini bado tunayo kazi kubwa ya kufanya

    Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021. Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
  14. K

    Chato ni sehemu nzuri ujenzi wa vyuo na uwekezaji mwingine, karibu

    Katika kutungua eneo la kanda ya ziwa especially mkoa wa kagera na Geita naunga mkono juhudi za serikali kutengeneza maeneo yamkakati na yakudumu katika eneo lile. Ujenzi wa uwanja, mbuga ya wanyama, vyuo na majengo yenye adhi zikiwemo hotel kutasiadia sana kupunguza uhalifu kwa maana ulinzi...
  15. Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  16. Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  17. Tufanye haya ili kuendelea kuimarisha uwekezaji na ukuaji wa uchumi Tanzania

    Tunaelekea kuufunga mwaka wa 2020 na panapo majaliwa itakuwa heri kwetu kuuona mwaka 2021. Miezi hii ya mwisho wa mwaka huwa ni wakati mzuri wa tafakari ya wapi tumefanikiwa mwaka huu. Kama nchi, Tanzania ina mambo mengi ya kujivunia mwaka huu na mojawapo ni lile la kuingia katika kundi la nchi...
  18. Hongera CHADEMA kwa uwekezaji huu mkubwa

    Safi sana CHADEMA hamkuwekeza kwenye majumba,wala magari ya kifahari wala chochote cha starehe,kila mlichopata mlikitumia kuijenga taasisi yenu mioyoni mwa watu, hamkukaa bure richa ya kuwa mlikuwa kifungoni kwa miaka yote mitano. Chemichemi zenu zote za kuwaongezea kipato kwenye chama...
  19. Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT

    Habari za kutwa wana JF. Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla. Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE) ya UTT ila bado sijaelewa mambo yanaendaje na nilitamani sana kuwekeza katika maeneo hayo nikaona...
  20. Lini wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii watanufaika na uwekezaji wa mifuko hiyo?

    Mifuko ya Hifadhi za Jamii kama NSSF inafanya uwekezaji mkubwa sana kwa kutumia michango ya wanachama. Miradi hiyo ya matrillioni ya Shillingi inajumuisha uwekezaji kwenye mabenki, kilimo na majengo makubwa ya kibiashara (Real estate), madaraja ya kulipia pamoja na uuzaji wa nyumba. Je, wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…