uwekezaji

  1. F

    Rostam Azizi na uwekezaji wa Taifa gesi

    Tanzania ni nchi ambayo kimsingi haijielewi imejikita katika uchumi upi kwani pamoja na kuwa UTI wa mgongo wa asilimia 90 ya watanzania wote ni kilimo Bado hakija pewa kipaumbele. Taasisi ya Nishati imejiweka kando huku tukiwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini source kuwa ya Nishati ni...
  2. Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

    Wakuu habari zenu? Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani. Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani Al hilal cha bao moja kwa bila. Yanga Walikuwa wanaongea sana mpira wa mdomoni bila kuongelea mpira...
  3. Kuna uwekezaji wa faida na uhakika Tanzania kama Kwenye Ardhi?

    Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani. .... Kuna hivi nauza✍️ Unatafuta kiwanja sehemu nzuri iliyojengeka, karibu, Usafiri usiosumbua na mahali palipo na huduma zote...
  4. Uwekezaji Katika Elimu ya Msichana Unaweza Kubadilisha Dunia Nzima

    Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii. Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
  5. Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  6. L

    Uwekezaji wa China barani Afrika katika muongo mmoja uliopita umelenga kutatua moja kwa moja changamoto za moja watu wa Afrika

    Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, China imehimiza uwekezaji katika nchi mbalimbali za Afrika unaolenga kutatua moja kwa moja changamoto zinazowakabili watu wa Afrika. Kupitia kauli mbiu yake ya “kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja”, China imeweza kuanzisha programu na miradi...
  7. Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  8. Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
  9. Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

    Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu. Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu My Take Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
  10. Uwekezaji wa UTT liquid Fund faida yake mbona ni tofauti na uhalisia wanaousema

    Habari wadau poleni na majukumu ya taifa lisiloeleweka kama sio lenye jana janja nyingi na yote ni kutokana na watanzania wengi kutokujali. Tuachane na hayo niliwai kusoma uzi mmoja huku jamii forums nikavutiwa nao nikajitaidi kufuatilia na kuuelewa zaidi basi nikaamua kuwekeza UTT amis mfuko...
  11. Tukiwekeza kwa matajiri wanaotokana na viwanda na kilimo, umasikini utakuwa ni historia

    Mtazamo wangu; Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa. Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
  12. Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

    Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia...
  13. Maboresho ya Bandari ya Mtwara chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu yazaa matunda.

    Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo. Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
  14. R

    SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  15. Kampuni 19 za Kimarekani kuangalia fursa za uwekezaji Tanzania

    DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
  16. Rais Samia ataka uwekezaji wa sayansi, Teknolojia

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China. Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo, wakati akifungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Mkataba...
  17. Tanzania Tena! Waisrael waja kufanya uwekezaji Mkubwa wa Mahoteli Zanzibar

    Haya ndo matokeo ya kufanya kazi kwa akili na sio maguvu! Jarida maarufu nchini Israel la The Times of Israel limeripoti kuhusu Waisrael kuja kufanya uwekezaji mkubwa Zanzivar ikiwemo kujenga Hoteli kubwa za kisasa katika kukuza soko la utalii Jarida hili halijaishia hapo bali limekwenda mbali...
  18. Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija

    Rais wetu Mama Samia ametoa udhamini wa wanafunzi 600 katika elimu ya juu waliofanya vizuri masomo ya sayansi, sina hakika kama watanzania wengi wanalifahamu jambo hili jema kiasi hiki, maana elimu ni mti wenye mizizi mirefu sana, majani mengi na matunda yenye mbegu nyingi zisizohesabika idadi...
  19. Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda. Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇
  20. D

    SoC02 Uwekezaji katika Vipaji

    Watu wengi katika nchi yetu wanaishi maisha ya kawaida sana na ya kujutia sana huku wengi wao hawafurahii shughuli na kazi wanazozifanya. Lakini katikati ya watu wote hao kuna wengine bado huzunguka sana na bahasha zao wakiwa na elimu za juu kabisa bila mafanikio yoyote, na hata wakipata nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…