Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,110
Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.