uwazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenu Sektetarieti ya ajira (PSRS), je, uwajibikaji na uwazi ni changamoto kwenu? Sio kipaumbele kwenu?

    Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao. Tunafaham...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya chakula(TMDA) ingieni kazini kukagua samaki na nyama nchi nzima, tena kwa uwazi, tamko ya Makamu wa Rais linatutia hofu

    Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi. Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
  4. JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania ina ubavu wa kuweka uwazi kwenye kuhesabu kura kama walivyofanya Kenya?

    Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini Serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila Mtanzania anaweza kuona kiasi...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

    Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya. Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
  8. JamiiForums Tanzania Uwazi na Uwajibikaji ni muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa barani Afrika

    Kwa mujibu wa Toleo la 10 la Global Corruption Barometer (GCB) – Africa, watu wengi barani humo wanaona Rushwa imeongezeka katika Nchi zao Vilevile, idadi kubwa ya Wananchi katika Mataifa mbalimbali Afrika wanaona jitihada za kupambana na tatizo hilo bado haziridhishi Ili kukabiliana na...
  9. JamiiForums Tanzania ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

    Benny Andersson, 75, Agnetha Fältskog, 72, Anni-Frid Lyngstad, 76, and Björn Ulvaeus, 77, pulled out all the stops as they posed on the red carpet at the glitzy launch event, where they prepared to watch their digital avatars take to the stage. Pictured in 1974
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aitaka CHADEMA iweke hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia kwani kufichaficha kunatia shaka

    Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania pekee ndio inahofia mfumuko wa bei kushindwa kutangaza kwa uwazi nyongeza ya mshahara?

    Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'... “Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno." "Tumejitahidi sana na kwa sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ngumu sana kutoboa bila shortcut, hakuna uwazi

    Tuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali. Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani. Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako...
  14. JamiiForums Tanzania Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

    Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu. Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  17. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Watu

    Na Peter Mwaihola Tafsiri Isiyo rasmi inabainisha Uongozi kuwa ni kuonyesha namna ya kufanya kitu, jambo kama vile kuonyesha njia. Dhana ya Uongozi ilianza Miaka ya zamani Sana kutoka enzi za Ukabaila na ukoloni kwakua jamii lazima iende kwa kuwa na dira maalumu yenye muelekeo. Uongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

    MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI MWANAUME[emoji177] Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nyenzo ya Uwazi katika Ujenzi wa Utawala Bora

    Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…