uwazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Nyenzo ya Uwazi katika Ujenzi wa Utawala Bora

    Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari Bagamoyo bila uwazi wa ubovu wa mkataba, ni usaliti wa Bandari zilizopo

    Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi? kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaburuzwa mahakamani kwa kukosekana uwazi mradi wa SGR

    Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR). Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hasara za kutokuwa na uchaguzi Huru na Wazi (ukosefu wa Tume huru)

    Uchunguzi wa muda mfupi, tuseme uchunguzi binafsi umeonyesha wale viongozi wanaopita bila ya ridhaa za wananchi au wameshinda uchaguzi kwa njia za udanganyifu uliotokana na wao au tume ya Uchaguzi, viongozi hao hawana maadili mazuri na kazi zao na maendeleo yao binafsi huonekana muda mfupi tu...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

    CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao. Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu...
  7. kunta93

    JamiiForums Tanzania Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

    Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi. Mchina kama anaweza fanya hii pia mniambie nimpeleke baby mama😊. Wewe pia unavutiwa?
  8. Donatila

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

    Serikali ya Tanzania inadaiwa kujitoa kwa muda kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji yaani Open Goverment Partnership(OGP). Inadaiwa Serikali imeamua kujikita kwenye "kutumbua majipu" kwanza kabla ya kujikita kwenye uwazi. OGP ilianzishwa mwaka 2011 na ilianza na Serikali 8 hadi 70...
Back
Top Bottom