Zitto Kabwe aitaka CHADEMA iweke hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia kwani kufichaficha kunatia shaka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,725
141,592
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
 
Mbona kama ana tetemeka?

Zitto ni sehemu ya serikali, namshauri awapigie washirika wake wamwambie hayo mapendekezo ya Chadema.
Aache waliohuru kutoa mapendekezo huru yasiyona mafungamano na sirikali wafanye jukumu Hilo Kwa maslahi mapana ya wananchi was Tanzania na taiga na SII Kwa akili ya sirikali na washirika wao kama akina Mzito na kamati yake🚶
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
NAYE AOMBE KUONGEA NA RAIS HATUTAHITAJI KUYAFAHAMU WATAKAYOONGEA-KATIBA MPYA NI BAADA YA 2025.
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Yeye kayaweka wazi ya chama chake?
 
Kabissa tena waweke wazi sasa, mashaka kwa chadema yameanza tokea mbowe alipotolewa jela baada ya miezi 8 pamoja na kuwa na kesi ya kujibu lakin gafla akafutiwa kesi lakini break ya kwanza akatia maguu Ikulu ya Samia lakini sio hapo tu sasa ni kawaida yake kwenda Ikulu lakini hofu zaidi Tundu Lissu pia ambaye ni msemaji kwa kila kinachotokea hili hajaweza kulitolea fatwaa. giza ni nene
 
Mbona kama ana tetemeka?

Zitto ni sehemu ya serikali, namshauri awapigie washirika wake wamwambie hayo mapendekezo ya Chadema.
Msikimbe hoja ekeni uwazi hapa na mueleze kwanini Ikulu imekuwa ni nyumbani kwao chadema sasa
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
weka uthibitisho, la sivyo msimsingizie zitto
 
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amekitaka chama kikuu cha Upinzani CHADEMA kuweka hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia Ikulu ya Chamwino

Zitto Kabwe ambaye ni mjumbe wa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala amedai mambo ya kufichaficha hayaleti taswira njema kwa wananchi.

Katika tweet yake Zitto Kabwe amesema kwa kutambua umuhimu wa uwazi ACT wazalendo kilielezea yale waliyopendekeza kwenye Kikosi kazi cha Prof Mkandalla.
Hawajaweka wazi?
 
Back
Top Bottom