Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
MWANAUME

Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula,
Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu
Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto
wakishakula Wanasema Asante Mama.
*
MWANAUME*

Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu
Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua
Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu
Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie,
Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu
Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,
MWANAUME
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia
Mkeo Hela Chumbani,

MWANANUME

Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo
Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa
Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi
Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na
gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome
Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto
Wanasema Asante Mama.

KIBAYA ZAIDI

Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi
Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu
Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo
matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora
Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi
Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.
NGUMU KUMEZA
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana
KUMBUKUMBU Yoyote Ya mema uliowafanyia.

MWANAUME KUWA MAKINI SANA
*_ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENI
 
Wadau Jana nimebadirisha touch ya simu yangu since then kila nikitaka kutuma kitu janvini naandikiwa BBCode sijaelewa ndy kitu gani hicho naomba msaada tafadhari

Wapendwa msaada kwenye tuta
 
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE
NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
MWANAUME

Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula,
Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu
Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto
wakishakula Wanasema Asante Mama.
*
MWANAUME*

Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu
Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua
Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu
Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie,
Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu
Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,
MWANAUME
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia
Mkeo Hela Chumbani,

MWANANUME

Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo
Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa
Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi
Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na
gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome
Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto
Wanasema Asante Mama.

KIBAYA ZAIDI

Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi
Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu
Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo
matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora
Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi
Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.
NGUMU KUMEZA
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana
KUMBUKUMBU Yoyote Ya mema uliowafanyia.

MWANAUME KUWA MAKINI SANA
*_ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENIView attachment 1884915View attachment 1884916
Nimejifunza kitu
 
Basi nisamehe sitarudia tena
Ahsante kwa kuwa muungwana zifute sasa hizo picha......

Back to topic: kuacha tu hela haitoshi wababa wajitahidi walau kupata muda na watoto....make watoto nadhani wanaelewa zaidi ile attachment kuliko materials
 
Ni dalili kuwa haupo karibu na familia yako na unahisi upo karibu kiviiiile!!!

Kama upo karibu na familia yako hukuwa na sababu ya kutoa pesa mbele ya watoto!! Kaa na familia yako mupange bajeti ya mwezi mzima na aina za vyakula watakula mwezi huo (schedule)!! Wataelewa tu!!

Toa outing familia yako, wafurahie ukiwaona pale wapate kitu roho yao inapenda! Wataelewa tuu!!

Siku moja unapata pesa, peleka shopping familia, wachague wanachotaka lipa!! Nafasi ya mama ipo pale pale na baba yako ipo pale pale!! Kiwa karibu na familia utajua namna ya kucheza na games kuvuta bond

Kwenye adhabu upo sahihi, hata mie mtoto akifanya kosa mbele ya mama siwezi kumuadhibu mimi baadae!! Kafanya kosa, aadhibiwe papo hapo!!
 
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE
NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
MWANAUME

Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula,
Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu
Mle Nimewapikia Chakula Kitamu, Watoto
wakishakula Wanasema Asante Mama.
*
MWANAUME*

Unamwachia Mkeo hela ya Nguo za Sikukuu
Chumbani,
Kesho Yake mkeo Anatoka kwenda Kununua
Nguo, Akirudi Anawaambia Wanangu
Nimewanunulia Nguo za Sikukuu Njooni Mjipimie,
Watoto Wakishajipima, Anawaambia Wanangu
Mmependeza Eeee, Simnaona Ninavyowapenda
Watoto wanafurahi na Kusema Asante Mama,
MWANAUME
Kila Aina ya Pesa ya Matumizi Unamwachia
Mkeo Hela Chumbani,

MWANANUME

Ukifika muda wa kutoa Ada Unamkabidhi Mkeo
Hela Chumbani,
Kesho yake Mkeo Anawaambia Watoto kuwa
Anaenda kuwalipia Ada ya Shule, Akirudi
Anawaambia Wananhu nimeshawalipia Ada, Na
gari za Shule Zitakua Zinawapitia, Nataka Msome
Wanangu ili Baadae Mje Mnitunze, Watoto
Wanasema Asante Mama.

KIBAYA ZAIDI

Ukifika muda wa kutoa Adhabu, Mkeo yeye hatoi
Adhabu, Anawaambia Watoto, Ngoja Babayenu
Arudi, Nawewe Ukirudi Unaelezwa na Mkeo
matatizo ya Wanao, Unachukua Bakora
Unawaadhibu Watoto, Bila kujua kuwa Unazidi
Kujenga Uhusiano M'BAYA na Wanao.
NGUMU KUMEZA
Ukifika Uzeeni, Watoto wako Hawana
KUMBUKUMBU Yoyote Ya mema uliowafanyia.

MWANAUME KUWA MAKINI SANA
*_ZINGATIA HAYO KWA MAISHA YA UZEENIView attachment 1884915View attachment 1884916

🤣🤣🤣🤣🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Uzi uko mkao ila picha tu ndiyo zina ukakasi...

Kuna rafiki yangu (sheikh) mmoja hajawahi kupost picha yake wala picha za nduguze, nilimuuliza kwanini hupost nduguzo??

Moja ya sababu ndiyo aliyoitoa ndiyo hii kuumiza hisia za watu (namna picha ilivyotumika kwenye huu uzi na kuwekewa hiyo caption yenye dhihaka)

So unaweza mpost Mzee wako vizuri tu, mara anatokea mpumbavu mmoja anaichukua ile picha na kuiandikia caption na inageuka meme.
 
Hizo ni ishara za kutokujiamini kama baba na kiongozi wa familia.
Kuwa baba bora ni zaidi ya kutoa hela/material things
 
Ahsante kwa kuwa muungwana zifute sasa hizo picha......

Back to topic: kuacha tu hela haitoshi wababa wajitahidi walau kupata muda na watoto....make watoto nadhani wanaelewa zaidi ile attachment kuliko materials
Hazifutiki aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom