uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uwanja ghali zaidi duniani (SoFi Stadium)

  2. JamiiForums Tanzania Tabora: Rais Samia akishiriki mkutano wa hadhara uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022. Ria Samia yupo mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi kwa siku 3, tangu aanze ziara hii amefanya uzinduzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

    Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana. Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki. Yanga wakijua...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mechi za Usiku Uwanja wa Mkapa mwanga ni mdogo

    Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya me hi zimekuwa zikichezwa nyakati za usiku. Hata hivyo ukiangalia hali ilivyo ya mwanga...
  6. JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa RC Makala na watumishi leo uwanja wa Mkapa hatokuja kuisahau

    Habari! Leo watumishi wa taasisi na ofisi mbalimbali zilizopo mkoa wa Dar es salaam tuliungana Uwanja wa Mkapa kusheherekea siku yetu kama ilivyo ada. Sasa ile kaanza kuongea katibu wa TUCTA MKOA watu wakaanza kuondoka kwa nguvu. Binafsi sikupenda ila baada ya kiongozi wetu nasi kutuambia...
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

    Naaam wasalam wakuu, Ile siku maalumu iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..Pambano la watani wa jadi katika soka la bongo, leo mtoto hatumwi dukani Karibuni katika matukio mubashara(live updates) ya mtanange huu wa kukata na shoka baina ya mahasimu wa Soka la bongo, #KariakooDerby...
  9. JamiiForums Tanzania Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  10. M

    JamiiForums Tanzania ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC wanatupa somo la mpira, kwamba uwanja wa nyumba ndio uwanja Sahihi wa Team kusonga mbele

    Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani. . Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Mechanical na Electrical Engineering ipi ina uwanja mpana kwa ajira kwa sasa?

    Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

    Nilidhani tuliposema tunamhitaji Victorien Adebayor tayari tumeshaanza harakati za kumpata matokeo yake RS Berkane wapo katika 90% ya kumpata na kuwa Mali yao rasmi.
  14. JamiiForums Tanzania Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania RS Berkane yapigwa faini kwa vurugu Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC

    Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa yanajaribu kuwaridhisha maboss wao watoa bahasha za khaki walidai ni offside Pigo la pili ni yule...
  16. JamiiForums Tanzania Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

    Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro. Huu sasa ni uhuni.
  17. JamiiForums Tanzania Kilichofanyika Uwanja wa Manungu kule Mtibwa ni aibu kubwa sana

    Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano Uwanja wa Manungu wa Mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana. Kuna ule uwanja wanatumia Polisi Tanzania upo Arusha inamaana Mtibwa wameshindwa kujifunza kupitia...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

    Ndugu zangu mshawahi kujiuliza kwanini uchawi hautumiki kwenye uwanja wa medani (vitani), nadhani kuna vitu vingi tumeshuhudia vya kichawi ambavyo ki uhalisia au ki fikra za kawaida tu vinaweza kuwekwa kwenye vita na vikafanya kazi.. Lakini cha ajabu Uchawi hautumiki kabisaaa ani tena nasikia...
  19. JamiiForums Tanzania CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Uwanja wa Ndege JNIA ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu

    Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two. Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu. Kwa kweli vyoo ni vichafu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…